Usalama na uzalendo barabarani huu hapa

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Inavyoonekana basi hawa jamaa wa usalama barabarani na makofia yao meupe ni wazalendo wa kweli. Huku vijijini wapo barabarani hadi saa 1 jioni au zaidi. Kwa vile sasa wana pikipiki kali, raia mwenye pikipiki akijaribu kukwepa watamkimbiza mpaka wamkamate, alafu wanamalizana huko huko, utaona jamaa anaendelea na safari. Insurance, licence....paid or an paid is non of my business! Wakimkamata mara nyingine ni mtindo ule ule ... kuyamaliza. Ila kazini wapo tangu 12 asb hadi 1jioni wanawinda pkpk. Nadhani hawa ni wachapa kazi safi, au sio? Mi nawapongeza kwa kukimbiza na kukamata!
 
Hata wewe mwenye pikipiki, kuliko kutoa faini inayoingia kwenye mapato yatakayonunua gari la mil. 90 la mbunge ni heri kumpa Mtanganyika mwenzako angalau nae ale nyama mwisho wa wiki. Napenda sana uhusiano wa matrafiki na madereva wa daladala. In a corrupt society, you can only be credible and ethical if you only become corrupt!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom