Wawili wafa pale pale mjini singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawili wafa pale pale mjini singida

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mroojr, Mar 13, 2011.

 1. Mroojr

  Mroojr Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watu wawili wafa pale pale muda mfupi uliopita baada ya kugongwa na gari iliyokukuwa ikivutwa na gari ingine. Waendesha piki piki hao waligongwa na kufa papo hapo baada ya bomba lililotumika kuvutia gari hiyo kukatika na gari hiyo kuhama njia na kuwakuta wahanga hao.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,335
  Likes Received: 14,602
  Trophy Points: 280
  poleni wafiwa and RIP guys
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,817
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Innalillah wainailaih rajiun.
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 888
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  RIP na poleni wafiwa
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,849
  Likes Received: 19,386
  Trophy Points: 280
  Poleni sana kwa msiba huu.
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,140
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  poleni wafiwa
   
 7. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi na huo mkutano wa mashehe uchwara walikuwa eneo hilo?
   
 8. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa ndugu ila taarifa haijakamilika. Wapi ajali imetokea na nani kakwambia au kma ni wewe umeshuhudia eleza vizuri kwa undani ilikuwaje waendesha pikipiki wakafa?
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,584
  Likes Received: 783
  Trophy Points: 280
  poleni jamani!
   
Loading...