Kwa wanaojua Biblia tu!

Kwa wanaojua Biblia tu!

Stevemike

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
117
Reaction score
15
Naomba mawazo yenu hapa. Mtu ambaye amemjua Mungu na kuwa na Yesu maishani mwake bado anahitaji kwenda kutafuta msaada kwa waganga wa kienyeji? Jibu lako liambatane na sababu.
 
Hajamjua mungu anamsikia tu. Hakuna hoja ya kujibu hapa
 
Back
Top Bottom