Je ni kampuni gani ya simu itakuwa ya kwanza kujenga mnara wa simu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kampuni gani ya simu itakuwa ya kwanza kujenga mnara wa simu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ChiefmTz, Mar 13, 2011.

 1. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,526
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Jamani kwa hali ilivyo Loliondo, natamani kuona jinsi kampuni ya kwanza itakayo instal mawasiliano kwenye kijiji cha Samunge. Swali, je ni kampuni gani ya simu hapa tz itakayokuwa ya kwanza kujenga mnara wa mawasiliano huko Samunge kwa jinsi wanajf mnavyoyaona makampuni hayo. I, humbly submit.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Tusubiri tuone....
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,947
  Trophy Points: 280
  makampuni yetu hayapo after money na mpaka sasa hivi hawajajua kuwa pale inahitajika hiyo huduma?
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Nadhani AIRTEL watakuwa wa kwanza.maana hawajamaa c mchezo.
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Airtel watawahi, HAWA WAPO IMARA KWANI TIGO & VODA WAME-OUTSOURCE VITENGO VYAO ISIPOKUWA HR NA FINANCE TU while ZANTEL & TTCL zajikongoja.
   
 6. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Hakuna hata kampuni moja itakayojenga mnara pale!!
  Sababu: Historia inaonyesha watu wote wanaojitokeza kama huyu babu huduma yao haidumu kwa muda mrefu. Hili ni jambo la muda mfupi tuu na usifikirie watu wataendelea kumiminika pale.
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo wanaoishi pale hawahitaji mawasiliano? Au wao sio watanzania?
   
 8. j

  jerry monny Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  rostam atawahi zaidi coz yule jamaa ni noma kwa dili zakibongo anazimudu sana hata bila kupata kibali au kufuata taratibu ataweka tu,kaishikilia bongo mkononi mwake huyo.
   
 9. S

  SURNAME Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Niweke kumbukumbu sawa,airtel operation imekuwa outsource na nokia siemens(NSN),Customer care imechukuliwa na kampuni toka India,sijui uliposema VODA & TIGO wameoutsource sijui kama ulikuwa walijua hili.Pili kuoutsource ni sehemu ya mabadiliko duniani hakufanyi usifanye biashara,kile kijiji kina watu wangapi permanent?Je babu akiama wakaondoe minara yao?Kabla ya kufunga minara kuna vitu vinaangaliwa sio kukurupuka tu.
   
 10. samanya

  samanya Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusubiri ili tuone kampuni ambayo inawajali watanzania.:ballchain:
   
 11. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  angalia #9
   
Loading...