Familia za JWTZ zisaidiwe: mwinyi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia za JWTZ zisaidiwe: mwinyi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Mar 13, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,228
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Waziri Mwinyi amewataka wa TZ kuzisaidia familia za askari wa jwtz wa kambi ya gongolamboto zilizo athiriwa na mlipuko wa mabomu. Source gazeti mwananchi.


  My take : kuna tetesi kuwa wakati wa milipuko ya mabomu ktk kambi ya Gongolamboto familia za askari zilikuwa zimekwisha ondolowe kikosini sikumbili kabla.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Mwinyi ajiuzulu kwanza.....then atoe huo ushauri
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,228
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Labda tumulazimishe ajihudhuru maana yeye anajua kuwa anapaswa kuendelea kuwepo ili baadae apokee kijiti.
   
Loading...