Uanzishwaji wa shahada mlimani na dosari zake

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,883
2,763
Jana naibu wa viwanda na biashara ndg lazaro nyalandu kazindua shahada 2 za uzamili (master's program) - master of int. trade na master of int. business ambazo zinatolewa na UDBS. Ni jambo zuri lakini kuna maangalizo hapa. UDBS wanatoa shahada ya uongozi wa biashara-Bachelor of Business Administration. Hii shahada haitambuliwi rasmi na chuo kikuu! Huwezi ukamaliza BBA na chuo kikakuajiri! Hili ni tatizo sana kwa nini chuo kinakubaliana na udbs kutoa koz ambayo hawawezi kumuajiri mhitimu? Tunaomba majibu katika hili kwa kweli la sivyo waiondoe ama waiboreshe ama chuo kiajiri hao wahitimu wa hiyo kozi. Chuo kikiitambua itakuwa rahisi pia kutambulika rasmi popote.
 
Labda ungefafanua kidogo, kumuajiri kama administrator ama academician. Maana kunavigezo tofauti vinavyotumika, then tutapata mwanga wa kuchangia/kukosoa kulingana na vigezo tunavyovifahamu.
 
kwa mujibu wa ndugu niliyeongea nae ni kuwa jwa nafasi yoyote ile ndani ya chuo, hawaajiri as long as u r BBA
 
Unamaanisha BBA wa UDBS au yeyote yule kutoka vyuo vingine? Nasikia BBA zinatoka sana Mzumbe, St Augustine, Tumaini na kwingineko.
 
Unamaanisha BBA wa UDBS au yeyote yule kutoka vyuo vingine? Nasikia BBA zinatoka sana Mzumbe, St Augustine, Tumaini na kwingineko.

kama za kutoka udbs wanazibania ndio wakubali za kutoka nje ya chuo?
 
Jana naibu wa viwanda na biashara ndg lazaro nyalandu kazindua shahada 2 za uzamili (master's program) - master of int. trade na master of int. business ambazo zinatolewa na UDBS. Ni jambo zuri lakini kuna maangalizo hapa. UDBS wanatoa shahada ya uongozi wa biashara-Bachelor of Business Administration. Hii shahada haitambuliwi rasmi na chuo kikuu! Huwezi ukamaliza BBA na chuo kikakuajiri! Hili ni tatizo sana kwa nini chuo kinakubaliana na udbs kutoa koz ambayo hawawezi kumuajiri mhitimu? Tunaomba majibu katika hili kwa kweli la sivyo waiondoe ama waiboreshe ama chuo kiajiri hao wahitimu wa hiyo kozi. Chuo kikiitambua itakuwa rahisi pia kutambulika rasmi popote.
Ni kweli UDSM wanatoa hiyo BBA. Lakini ukiitaza BBA ilivyo, inamaana mtu huyo hana specialisation yoyote. Yaani hayupo accounting, marketing, finance na general management ambazo ndio idara kuu pale. Sasa mtu ukiwa general, na huna specialisation na idara zina specilisation unadhani utaajiriwa vipi?
Pili, ile degree ina lack seriousness kwa pale. Ni kama bora liende. Kifupi angalia vigezo vya wale wanaosoma Bcom na BBA kisha utaamua. Kwahiyo mtoa mada, kwa degree hiyo, na kwakuwa hauna specialisation, haiwezekani kubaki kuwa kwenye academics labda ufikirie zile kazi za general.
 
ifutwe tu kama vipi. Ila ninavyoiona ina advantage kuliko baadhi ya kozi zinazotolewa pale. Faida yake moja kuu ni kujiajiri. Lakini siamini pia kuwa eti hakuna nafasi ya ajira kwa aliyemaliza hiyo kozi hapo udsm kwa namna ninavyoifaham hii kozi
 
waziri alizindua MIT ( mastaz of intanesheno trade ) na MIB (mastaz of intanesheno bizinesi) zote hizi zinafadhiliwa na serikali ya denmark... malipo ni mil 12 kwa kozi yote kwa kila mwanafunzi......
 
Ni kweli UDSM wanatoa hiyo BBA. Lakini ukiitaza BBA ilivyo, inamaana mtu huyo hana specialisation yoyote. Yaani hayupo accounting, marketing, finance na general management ambazo ndio idara kuu pale. Sasa mtu ukiwa general, na huna specialisation na idara zina specilisation unadhani utaajiriwa vipi?
Pili, ile degree ina lack seriousness kwa pale. Ni kama bora liende. Kifupi angalia vigezo vya wale wanaosoma Bcom na BBA kisha utaamua. Kwahiyo mtoa mada, kwa degree hiyo, na kwakuwa hauna specialisation, haiwezekani kubaki kuwa kwenye academics labda ufikirie zile kazi za general
.

Ata idara ya General Management -UDBS hawawezi kukuchukua kama umefikia vigezo na kuwa TA?
 
ishu si kuniajiri mimi bali chuo kiitambue. Manpower kibao inaacha kazi pale. Kuhusu specialization hizo ni pumba tu. Wahitimu wangapi wanafanyia kazi kile walichosoma? Wangapi wanamaliza pspa n.k wanaenda benki? Kama vipi waitafutie mazingira bora zaidi na kama wanashindwa waipige chini. Kwa upande mwingine inaonekana better off than other courses there in terms of content lakini hao mahafidhina hawajui kuwa tutawaharibia soko soon.
 
Specialisation inaweza kuwa pumba kulingana na kazi unayokwenda kuifanya. Sasa wewe unataka ukafundishe wakati huna ujuzi wa kutosha wa kile unachokitaka, nani akuchukue? Manpower kuacha kazi, wapo wengine wenye qualifications kubwa zaidi yako ndio wanachukuliwa. Hoja ya kuitafutia mazingira bora ni ya msingi na hasa kuipiga chini ndio hoja kuu maana program ile imemezwa na Bcom. Pia kozi hiyo haina cha u-better wowote unaotaka kutuaminisha.
 
Back
Top Bottom