Tuwe wakweli jamani!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,617
8,689
Tangu kuwepo kwangu kwenye hii Forums nimekuwa nikiona hoja mbalimbali!!ila nimeona Jukwaa lenye umaarufu nijukwaa la Mahusiano, mapenzi, urafiki Ukitoa kipindi cha uchaguzi! anayepingana na mimi aseme hapa!
 
no no noooooooooo, jukwaa maarufu ni jamii photoes.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom