Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,624
Kama kawaida yangu leo nimeendelea na mihangaiko yangu ya kila siku lakini ilipofika jioni nikapata taarifa ya uhakika kwamba bei ya petrol kasulu sasa ni shilingi 6000 kwa lita lakini ya diesel bado iko chini kidogo. Swali kwa wadau hii inasababishwa na nini? Mbona juzi juzi mamlaka husika zimekanusha juu ya tetesi za uhaba wa mafuta? Nawasilisha hoja.