Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 751
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60 amedondoka leo kwenye jengo la Redcross lililopo mkabala na barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kufa hapo hapo. Mzee huyu mwenye asili ya kiasia kwa mujibu wa televevision Tumaini aliaga toka ghorofa ya tatu iliyopo ofisi yake kuwa anakwenda ghorofa ya tano kufata chakula na ghafla aliaanguka na kufariki dunia. R.I.P mzee Patel...