Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchi yetu, vituko haviishi. Kila sehem kuna mambo yake. Na watu wake huamini kuwa ni mambo ya kawaida na ndio nchi inatakiwa iende hivyo. Licha ya kwamba mengi katika yanayotokea tuhuma huelekezwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndugu JK, nadhani sasa ni wakati muafaka kwako kutumia madaraka uliyo kabidhiwa na wananchi kama mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote. Tunatarajia,kwa hili la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nauliza, mabomu ya atomic nayo yalilipuka? Mie nashauri kuwa makomandoo tulionao Tanzania wapite kila kambi ya jeshi Tanzania na washirikiane na wanajeshi kuchimba mahandaki ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau mi nimekosa majibu naomba mnipe mawazo.Kumbuka ukiwa na mipesa mingi presha na mawazo yanakuwa juu,hapa furaha hakuna.Utakuwa na mke/mume mzuri lakini kilasiku ni matusi au ngumi na mateke...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi Mzee Ali Hassan Mwinyi kukubali kuwajibika wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani halikuwa somo kwa taifa????????? Tujifunze nini kwa mtoto wake kutamka kijeuri kwamba hajiuzulu kwa suala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana nilisikitishwa baada ya kuona Wafanyakazi watatu waswahili wa kampuni ya uwindaji ya Robin Hurt yenye makazi yake jijini Arusha, na ambayo ina vitalu na kambi zake za uwindaji huko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Majanga!!!!!-majanga!!!!!-majanga!!!! Mara mv bukoba!!, mara ajali ya treni dodoma!!!,.... ajali za barabara kibao!!!, ...mabomu g/mboto 1!!!!!,....mabomu mbagala!!!, ...arusha trajedies...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona kuwa kila saa mkuu mmoja akiharibu huwa uovu wake unafichwa kwa kisingizio cha Usalama wa Taifa. Watanzania, kiongozi akifanya kosa, akiiba, akidanganya, ni lazima awajibishwe, huo sio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kwema? usiku wa kuamkia leo wakati narejea home kutoka kuwapa pole wahanga wa mabomu ya gongo la mboto,niliikuta radio One inatumbuiza miziki laini,meseji za kuwaliwaza wafiwa,wahanga...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu lazima ifike sehemu tuache porojo na tueleze mambo kisayansi. Tunaambiwa Milipuko iliyotokea mbagala na sasa gongo la mboto inasababishwa na uchakavu wa mabomu na pia joto kali. Naomba...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mbatia ameonesha mfano. Wengine wafuate. Ni jambo jema. Source: itv
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mbatia ameonesha mfano. Wengine wafuate. Ni jambo jema. Source: itv
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni bahati mbaya sana kwamba bloggers wengi nchini wanafahamu JF na kwa Michuzi Senior na Junior. Kadri siku zinavyokwenda sasa ni dhahiri kwamba mawasiliano pepe imepata nguvu kubwa ajabu. Na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi waziri kama Mwinyi anajiskiaje anapoona picha kama hii?? je kitendo cha yeye kuendelea kung`ang`ania madaraka tukitafsirije???? kwangu namuona zaidi ya muuaji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, hali inazidi kuwa tete, maisha yetu yamejeuka usanii mtupu. Kila kukicha ya jana nafuu, yakesho ndiyo itakuwa mbaya zaidi. Mkwere kazi kucheka tu,maisha yetu kwake ni kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekaa nimewaza huyu rais wetu kweli anapata usingizi kweli? Maana kila kukicha matatizo hii nchi yanazidi kuongezeka. Na kanuni yake aongei chochote kwanza anasubilia muongee alafu anakuja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF habari za jioni, Ni mategemeo yangu nyote mpo salama, kuna swali napenda kuwaulizeni ili nipate kujua hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo imewahi kulipuka kwa maghala yake ya silaha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama Kweli Basi Tuanzishie Kodi ya Gari Lisilo La ABIRIA ya Kiwango CHA SHILINGI ELFU 75 KWA GARI KWA SIKU...NA TUELEZE MAPATO YETU YATAKAYOTOKANA NA HII KODI MAALUM SANA NA MPYA MMNO YATAKUAJE...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wan Jf, nilisikia hivi majuzi wabunge wamepewa milioni 90 kila mmoja kununua magari. Hongera zao. Sasa twende Gongo la Mboto. Matokeo ya uzembe wa wa serikali yameleta maafa na kuua wenzetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom