Mabomu ya Nuclear/Atomic nayo yalilipuka?

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,930
3,227
Jamani nauliza, mabomu ya atomic nayo yalilipuka?

Mie nashauri kuwa makomandoo tulionao Tanzania wapite kila kambi ya jeshi Tanzania na washirikiane na wanajeshi kuchimba mahandaki ya kuhifadhia silaha.
 
ya nchi gani
 
Makomandoo? Nchi hii nayo ina komandoo? Labda makomandoo wa matumbo yao! Makomandoo wa ukweli wako huko kwa wenzetu - nendeni Uchina na Israel mkaone makomandoo walioenda shule, ambao hawajui kitu kingine zaidi ya falsafa moja tu: TAIFA LANGU KWANZA.

Hao ndio makomandoo na majemadari ambao kama taifa ni fahari kuwa nao na sio hawa wanaowatukuza, kuwatetea, na kuwasemea mafisadi. Nakubaliana na Dr. Mkumbo kwamba wa kulaumiwa ni sisi wapiga kura ambao kila mara tunarudia kosa lile lile la kuwarudusha wale wale madakani pamoja na kushindwa kwao. Fikiria hali ya nchi ilivyo sasa hivi - ni aibu.

Siku kila mtanzania (au walio wengi) wakiamua na kuongozwa na falsafa ya "TAIFA LANGU KWANZA"; sote tutakuwa makomandoo na nchi itasonga mbele.
 
Back
Top Bottom