Nasubiria fidia ya gongo la mboto, ole wao iwe chini ya milioni 100 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasubiria fidia ya gongo la mboto, ole wao iwe chini ya milioni 100

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by komredi ngosha, Feb 18, 2011.

 1. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wan Jf, nilisikia hivi majuzi wabunge wamepewa milioni 90 kila mmoja kununua magari. Hongera zao. Sasa twende Gongo la Mboto. Matokeo ya uzembe wa wa serikali yameleta maafa na kuua wenzetu. Napendekeza fidia iwe milioni 100 kwa familia iliopoteza ndugu yao. Ndio, thamani ya uhai wa Mtanzania ni kubwa zaidi ya gari ya mbunge. Pia watu hawa wameuliwa ktk maisha yao ya kawaida, wengine wakiwa wanategemewa na jamaa zao hivyo kuacha pengo kubwa ktk maisha yao. Nawasilisha.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  hiyo ni ndoto kwa serikali hii.Mbagala kuna watu hadi leo hawajalipwa fidia... watavalue vizuri lakini siku cheki ikitoka unakuta wameslash 90% bila maelezo
  wao hili si muhimu kama VX za wabunge na ndio maana kile kiajuza chao mjengoni kimedai sio suala la dharura
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Haya si maneno ya busara kwa kipindi hiki kuzungumzia fidia wakati miili iko mochwari hadi hivi sasa. Fidia kwani ndio kitu gani kwa uhai wa mtu?? Usilete mzaha wa aina hiyo ndugu.
   
 4. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
Loading...