Je Unaahabari Ya Kwamba Bloggers wa Kimataifa sasa Wanakwenda Msafa Marefu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Unaahabari Ya Kwamba Bloggers wa Kimataifa sasa Wanakwenda Msafa Marefu??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uwezo Tunao, Feb 18, 2011.

 1. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni bahati mbaya sana kwamba bloggers wengi nchini wanafahamu JF na kwa Michuzi Senior na Junior.

  Kadri siku zinavyokwenda sasa ni dhahiri kwamba mawasiliano pepe imepata nguvu kubwa ajabu. Na hivyo vivyo ndivyo watawala wadhalimu wanavyoendelea kuchukia hii silaha muhimu ambayo ipo kwenye miliki ya vijana tu ambao ndio tuko wengi sana duniani LAKINI NDIO WENYE KUPUUZWA NA KUNYANYASWA ZAIDI.

  Kwa kuona matatizo yetu yanavyofanana katika nchi za ulimwenu wa tatu na jinsi baadhi ya vyombo vya usalama unavyowatesa na hata kuwaua baadhi ya bloggers, tayari mawasiliano awali yamefanyika (1) kuunganisha nguvu zetu kote duniani, (2) kusaidia kupitishwa azimio UN kwamba njia mbalimbali za kuwasiliana kimtandao ni MOJAWAPO HAKI KIBINADAMU iliojitokeza katika karne hii ya 21.

  Lakini kwa kuanzia tu tutaanza ku-post humu links / au njia za kuweza kufikia forums nyinginezo kama hii JF yetu. Hivyo mtu yeyote anaKaribishwa kurusha humu FORUMS zozote unazozifahamu na kuzitolea maelezo machache ili bloggers we Tanzania nasi tuanze kukutana huko huko kwenye mijadala hiyo ya masafa marefu juu kwa juu!!

  Home[​IMG]Op/Ed[​IMG]
  [​IMG]

  Kesho kutwa, si ajabu ukasikia naye Mhe Kikwete anatoa amri kama ya Zanawi dhidi ya JF!!!!! After all vitisho vimekua vingi sana hadi hivi sasa lakini hakuna kurudi nyuma mpaka wadhalimu wenyewe wajirudi.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  HII HAPA NI JAMII FORUM YA KULE NCHINI TUNISIA KULIKOANZIA
  MABADILIKO YAKWELI KUPITIA SHUJAA
  MMACHINGA MOHAMED BOUAZIZI

  Search:

  Type: Posts; Posts From Last Day


  Search: Search took 0.04 seconds.  Results 1 to 19 of 19

  LINK: Search Results - Tunisia.com Community
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  HII HAPA NI JAMII FORUM YA KULE NCHINI TUNISIA KULIKOANZIA
  MABADILIKO YAKWELI KUPITIA SHUJAA
  MMACHINGA MOHAMED BOUAZIZI


  Search:

  Type: Posts; Posts From Last Day

  Search: Search took 0.04 seconds.
  [​IMG] taxi prices


  Results 1 to 19 of 19

  LINK: Search Results - Tunisia.com Community
   
Loading...