Hivi Kweli MZEE MWANAKIJIJI UPO KWELI????????

Hivi Kweli MZEE MWANAKIJIJI UPO KWELI????????

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
409
Reaction score
31
Kama Kweli Basi Tuanzishie Kodi ya Gari Lisilo La ABIRIA ya Kiwango CHA SHILINGI ELFU 75 KWA GARI KWA SIKU...NA TUELEZE MAPATO YETU YATAKAYOTOKANA NA HII KODI MAALUM SANA NA MPYA MMNO YATAKUAJE KILA SAA, KILA SIKU, KILA WIKI, KILA MWEZI, KILA ROBO MWAKA, KILA NUSU MWAKA, KILA ROBO TATU YA MWAKA, KILA MWAKA NA KILA BAADA YA MIAKA MITANO KWA MIAKA 49 IJAYO.
 
Hata wageni tunakushangaa maana hatujui unasema nini.

Kama ni ujumbe mahsusi wa MMM kwa nini usimpelekee kwenye email yake au PM.

Pata supu ya makongoro huwa inasaidia kupunguza ......
 
Hiyo heading na thread yenyewe ni mbwaaa! Mbwaaa! Toka jamvini jf premium member.
 
Kama Kweli Basi Tuanzishie Kodi ya Gari Lisilo La ABIRIA ya Kiwango CHA SHILINGI ELFU 75 KWA GARI KWA SIKU...NA TUELEZE MAPATO YETU YATAKAYOTOKANA NA HII KODI MAALUM SANA NA MPYA MMNO YATAKUAJE KILA SAA, KILA SIKU, KILA WIKI, KILA MWEZI, KILA ROBO MWAKA, KILA NUSU MWAKA, KILA ROBO TATU YA MWAKA, KILA MWAKA NA KILA BAADA YA MIAKA MITANO KWA MIAKA 49 IJAYO.
Mkuu vipi tena mbona unajivunjia heshima yako?haieleweki unataka kufikisha ujumbe gani!!
 
Hata wageni tunakushangaa maana hatujui unasema nini.

Kama ni ujumbe mahsusi wa MMM kwa nini usimpelekee kwenye email yake au PM.

Pata supu ya makongoro huwa inasaidia kupunguza ......

mtoa mada atakuwa mtaalamu wa cryptography.

MD-5.

Mwanakijiji anayo Key.

bila shaka ata-decrypt.

hahaha!!!
 
Unaonaje ukichimba dawa kwanza na kupata kongolo? Huwa inachangamsha sana kwa watu kama ninyi mnaoamka nazo kichwani.
 
Sijamuelewa wala kuielewa title ya thread na kilichomo ndani.
 
Sasa gari gani lisilo la abiria?? Maana yake hapa bongo ata malori yanabeba abiria. Utoze kodi umekua TRA nini. Kweli springi zimefyatuka kichwani!!!
 
anagalia usije ukawa umekalia kitu chenye ncha kali ndo unaanza kubwabbwaja tu maana mara robo mwaka... mara nusu.... mara mwaka...unataka nini??? au HR wewe?? maana ndo mtu sasa hivi anajiongelea tu
 
du mwana hueleweki,moja ukai wala mbili usimami sijui upo pande zipi,kama vipi jipange upya rudi na kitu ulichokusidia kumpatia mmm

msema ukwelii hapendwiii daimaaa
 
mtoa mada atakuwa mtaalamu wa cryptography.

MD-5.

Mwanakijiji anayo Key.

bila shaka ata-decrypt.

hahaha!!!

Jamani Tusubiri Mzee Mwankijiji a- decrypt hiyo msg kama ilivyopendekezwa na Ng'wanangwa
tusipige kelele kuna ujumbe humo ndani kwa mhusika
 
huyu atakuwa amemaliza form four 2010 na kupata sifuri tu,make haeleweki anataka nini
 
Back
Top Bottom