Du hivi JK anasinzia kweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Du hivi JK anasinzia kweli!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tidito L, Feb 18, 2011.

 1. Tidito L

  Tidito L Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Nimekaa nimewaza huyu rais wetu kweli anapata usingizi kweli? Maana kila kukicha matatizo hii nchi yanazidi kuongezeka.
  Na kanuni yake aongei chochote kwanza anasubilia muongee alafu anakuja kuwapa mabango kuwa hoo, "akutukanae akuchagulii tusi"
  sasa si bora ang'oke kama anaona anashindwa kazi.
  Mambo gani haya bana.?
   
 2. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kikwete?
  kwa uzalendo gani alionao mpaka ashindwe kulala?
  Huyu co mzalendo wa kusikia maumivu ya watanzania
  Comedy in place kama kawaida
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Home[​IMG]Op/Ed[​IMG]
  [​IMG]

  Kesho kutwa utamsikia kaamrisha jeshi kumata JF!!!!! Maandamo kwa haraka kutete wafiwa na wato yatima kwa uzembe huu!!!
   
Loading...