Ndugu zangu wana JF, naomba mwongozo. Hivi inapotokea wananchi wamekosa imani na jeshi lao wanapaswa kufanya nini?
Mimi sina imani na jeshi la wananchi, kwa bahati mbaya mimi si mbunge...
Siku za hivi karibuni hapa ZNZ kumekuwa na movement ya kuhamisha kwa nguvu wafanyabiashara kutoka ktk maeneo yanayodaiwa hayaruhusiwi kufanyia biashara . Moja ya maeneo mojawapo ni eneo maarufu...
Bandugu,
Naomba mnisaidie yeyote anayefahamu kuhusu WAT Saccos. Nasikia wanawezesha watu kununua ardhi, is this true? kuna yeyote aliyewahi kudeal nao.
Thanks
Angalia hii clip kwa umakini..
My Take:
1. Nimevutiwa na jinsi alivyokuwa anajenga hoja na kwa kutumia reference.
2. Ameongea kisomi zaidi na kwa muda mfupi amegusia mambo mengi. Kuna vitu...
British gay Muslims are joining the global fight for equality and seeking gay Islamic marriage. The BBC's 5 live Investigates speaks to one couple about their 'nikah' - a Muslim matrimonial...
Haya magazeti yaliandika kuhusu kuja kwa mmiliki wa Dowans, Eti amekataa kupigwa picha:
NIPASHE
MWANANCHI
MAJIRA
MINGINE........
issue kubwa kama hii unasema hakuna picha unaweka maandishi 2! ni...
By Gwynne Dyer
WHY now? Why revolutions in Tunisia and Egypt this year, rather than last year, or 10 years ago, or never?
The protestors now taking to the street daily in Jordan, Yemen...
Do you have an overweight body?? dont be shy.. now you can join the special night club which is dedicated for an overweight person.
California nightclubs "Club Bounce" and "The Butterfly Lounge"...
Libyan leader Muammar Gaddafi will fight a popular revolt to "the last man standing," one of his sons said on Monday as people in the capital joined protests for the first time after days of...
Nimesikia sasa hivi kwamba huko kitunda kuna utumbo wa binadamu unaning'inia kwenye waya wa umeme mpaka hivi sasa ninapoandika, ni habari inayonishangaza na nimeona niirushe kwa faida ya wanajamii...
Nimesikitika sana na uamuzi wa TANESCO kukata umeme huku mimi na familia yangu tukisubiri tamko au mwongozo wa haraka haraka kutoka kwa uongozi wa JWTZ au wataalamu wa mabomu ili tuweze kujua nini...
Mh. Yusuph Makamba leo amesababisha kizaazaa maeneo ya Tegeta baada ya kujipendelea maji ya kisima huku wananchi wenzake wakikosa maji kwa muda mrefu. Wakilezea tukio hilo kwa Mwandishi wa ITV...
Mimi nimeshikwa na Butwaa!!!Mimi sijui kama nipo Tanzania Nchi yenye Serikali!au Nipo Somalia??Nchi inayojiendeshea kienyejikila kukicha!!Aiingii akilini kama kweli Nchi hii yenye utawala tena...
Wana JF nawaomba tukumbushane ni kama sasa tunaelekea kutaka kupoteza na kuzima moto wa kushughulikia Katiba mpya.Kama kawaida yetu watanzania tunajidai tunajadiliana kwa muda mfupi halafu eti...
Makombora yatua nyumbani kwa Pinda Send to a friend Sunday, 20 February 2011 09:00 0diggsdigg
MWANANCHI LASHUHUDIA, ASKARI WAFUTA PICHA KWENYE KAMAERA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.