Tanzania taifa la majanga!!!!!!!: Hivi kweli tutafika???????????????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania taifa la majanga!!!!!!!: Hivi kweli tutafika????????????????????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtu wa Mungu, Feb 19, 2011.

 1. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Majanga!!!!!-majanga!!!!!-majanga!!!! Mara mv bukoba!!, mara ajali ya treni dodoma!!!,.... ajali za barabara kibao!!!, ...mabomu g/mboto 1!!!!!,....mabomu mbagala!!!, ...arusha trajedies!!!!, .....uchaguzi mkuu wa 31.10.2010 uliojaa uchakachukuaji wa wabunge batili 19 na rais batili!!!!,...rais kulindwa na majini!!!!, ....rais kuanguka kila leo!!!!, ...IPTL!!!!, .....richmond!!!, .....dowans!!!!,.......epa!!!!, .....kagoda!!!!,....RA/ENL/AC!!!!!,.....form4 88% failure!!! .....ongezeko kubwa la umasikini katika miaka 5 iliyopita!!!,....kuchakachua kanuni za bunge!!!,.....spika wa ajabu!!!!!!, ...mabomu g/mboto 2!!!!,......taifa kupoteza matumaini na mwelekeo kimaadili!!!!, umeme migao kibao!!!!!,...maji shida!!!!!,..ATCL imekufa!!!!, ...TRL imekufa!!!!,...rasilimali za nchi zinabebwa na wageni hadharani,..fedha matrilioni zitokanazo na rasilimali za nchi kuwekwa mabenki ya nchi nje na kuacha mashimo matupu nchini!!!!,.....chama tawala na serikali yake kutekwa na mafisadi(magaidi)!!!!!,..... na mengineyo mengi mengi mengi!!!!!!!!!!! hatimaye taifa kuzama!!!!!!!!!!!!!!!!
  Hivi kweli tutafananaje katika Jumuia ya A Mashariki????????????????:spider::blah::A S 112::decision:
   
Loading...