Naombeni kuuliza....................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni kuuliza.......................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mohammed Shossi, Feb 18, 2011.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  WanaJF habari za jioni,

  Ni mategemeo yangu nyote mpo salama, kuna swali napenda kuwaulizeni ili nipate kujua hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo imewahi kulipuka kwa maghala yake ya silaha kwenye kambi za kijeshi na kuleta madhara?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  yeah...kuna rumours kwamba hata Russia,mozambique and even Zambia ila sina hakika na kiwango cha madhara na pia CHANZO chake maana hilo ndio issue kubwa
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Thanks lakini nahitaji habari zilizokuwa za kweli ili tujiridhishe kuwa ni jambo la kawaida na swali libaki kwanini kambi zetu zipo kwenye makazi ya watu? na je hakuna uwezekano kwa lugalo na jitegemee kulipuka in near future? wamejiandaaje na kuzuia matatizo yasitokee kwenye kambi nyinginezo?
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mmmh! Hata sijui ila uzembe ni uzembe tu hata kama hayo mabomu yangelipuka nchi zilizoendelea.
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  u r right una maana inabidi watu wawajibike ikibidi!
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  hizi kambi hapo zamani kabla ya jiji kupanuka zilionekana ni nje ya mji...hata hivyo what matters ni safety caution of keeping this killing bombs regardles zipo wapi..nadhani kutokujali,kutokutoa mafunzo na pia kubania bajeti ni chanzo..jeshi linapelekwa kisiasa zaidi...kwa vita za siku hizi sidhani hata kama yanafaa tena haya
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu cjui umewaza nn ila najua umefikiria sana kiukweli akuna na kama imewaikutokea ilikuwa ni bahati mbaya kwelikweli ila sio kama hapa tz hapa yanatokea kwa uzembe uliokithiri wala kuelezeka simple tu kwa vile uhai wa watu auna thamani
   
 8. Mwanaitelejensi

  Mwanaitelejensi Senior Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Only Tanzania kitu hicho kinatokea Russia Ilitokea leakage ya Nuklia sio Kambia ya Jeshi na sehemu nyingie ilipo tokea ni Panagarh in India na watu walipoteza maisha 0 hakuna aliyepoteza Maisha na hakuna aliyejeruhiwa The Telegraph - Calcutta (Kolkata) | Bengal | Blaze in army depot

  Only Tanzania kuna Wazembe kama wakina Shimbo kazi kuzungumzia siasa na wamesahau kuangalia maghala ya silaha kama yanahitaji uangalifu
   
 9. K

  Kivia JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kweli askari wetu wanapenda kuongelea siasa na wanatamani wawe wanasiasa na wanasahau wajibu wajibu wao .
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah! mkuu nilikuwa najaribu ku google ili nione, sijafanikiwa kupata chochote.. vp salama lakini kaka? maana juzi jioni na jana ilikuwa kimya hatukukuona jamvini.....
   
Loading...