Mobile Phone Tips
----- 4 THINGS YOU PROBABLY NEVER KNEW
YOUR MOBILE PHONE COULD DO
There are a few things that can be
done in times of grave emergencies.
Your mobile phone can actually be a...
Nchi yetu, vituko haviishi. Kila sehem kuna mambo yake. Na watu wake huamini kuwa ni mambo ya kawaida na ndio nchi inatakiwa iende hivyo. Licha ya kwamba mengi katika yanayotokea tuhuma huelekezwa...
Ndugu JK, nadhani sasa ni wakati muafaka kwako kutumia madaraka uliyo kabidhiwa na wananchi kama mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote.
Tunatarajia,kwa hili la...
Jamani nauliza, mabomu ya atomic nayo yalilipuka?
Mie nashauri kuwa makomandoo tulionao Tanzania wapite kila kambi ya jeshi Tanzania na washirikiane na wanajeshi kuchimba mahandaki ya...
Wadau mi nimekosa majibu naomba mnipe mawazo.Kumbuka ukiwa na mipesa mingi presha na mawazo yanakuwa juu,hapa furaha hakuna.Utakuwa na mke/mume mzuri lakini kilasiku ni matusi au ngumi na mateke...
Hivi Mzee Ali Hassan Mwinyi kukubali kuwajibika wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani halikuwa somo kwa taifa????????? Tujifunze nini kwa mtoto wake kutamka kijeuri kwamba hajiuzulu kwa suala...
Jana nilisikitishwa baada ya kuona Wafanyakazi watatu waswahili wa kampuni ya uwindaji ya Robin Hurt yenye makazi yake jijini Arusha, na ambayo ina vitalu na kambi zake za uwindaji huko...
Majanga!!!!!-majanga!!!!!-majanga!!!! Mara mv bukoba!!, mara ajali ya treni dodoma!!!,.... ajali za barabara kibao!!!, ...mabomu g/mboto 1!!!!!,....mabomu mbagala!!!, ...arusha trajedies...
Nimeona kuwa kila saa mkuu mmoja akiharibu huwa uovu wake unafichwa kwa kisingizio cha Usalama wa Taifa.
Watanzania, kiongozi akifanya kosa, akiiba, akidanganya, ni lazima awajibishwe, huo sio...
Wakuu kwema? usiku wa kuamkia leo wakati narejea home kutoka kuwapa pole wahanga wa mabomu ya gongo la mboto,niliikuta radio One inatumbuiza miziki laini,meseji za kuwaliwaza wafiwa,wahanga...
Wakuu lazima ifike sehemu tuache porojo na tueleze mambo kisayansi.
Tunaambiwa Milipuko iliyotokea mbagala na sasa gongo la mboto inasababishwa na uchakavu wa mabomu na pia joto kali.
Naomba...
Ni bahati mbaya sana kwamba bloggers wengi nchini wanafahamu JF na kwa Michuzi Senior na Junior.
Kadri siku zinavyokwenda sasa ni dhahiri kwamba mawasiliano pepe imepata nguvu kubwa ajabu. Na...
Hivi waziri kama Mwinyi anajiskiaje anapoona picha kama hii?? je kitendo cha yeye kuendelea kung`ang`ania madaraka tukitafsirije???? kwangu namuona zaidi ya muuaji...
Ndugu zangu watanzania, hali inazidi kuwa tete, maisha yetu yamejeuka usanii mtupu. Kila kukicha ya jana nafuu, yakesho ndiyo itakuwa mbaya zaidi. Mkwere kazi kucheka tu,maisha yetu kwake ni kama...
Nimekaa nimewaza huyu rais wetu kweli anapata usingizi kweli? Maana kila kukicha matatizo hii nchi yanazidi kuongezeka.
Na kanuni yake aongei chochote kwanza anasubilia muongee alafu anakuja...
WanaJF habari za jioni,
Ni mategemeo yangu nyote mpo salama, kuna swali napenda kuwaulizeni ili nipate kujua hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo imewahi kulipuka kwa maghala yake ya silaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.