BIN BOR JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,013 Reaction score 407 Feb 19, 2011 #1 Kuna tetesi baadhi ya manyang'au yametoa hifadhi kwa mabinti waathirika wa mabomu na wanawala uroda. Wanaharakati wa haki za watoto fuatilieni hilo.
Kuna tetesi baadhi ya manyang'au yametoa hifadhi kwa mabinti waathirika wa mabomu na wanawala uroda. Wanaharakati wa haki za watoto fuatilieni hilo.