mwanafunzi aliyetoroka kwao kutokana na kupata ziro katika matokeo yake ya kidato cha nne arejea nyumbnai kwao jana.
Jennifer alitoweka kwao Januari 30 mwaka huu kwa hofu ya kupewa adhabu na...
Jamani, sasa hivi niko kwenye daladala natoka tazara to posta, kunamtangazaji anaendesha kipindi cha mitikisiko ya pwami(nadhani ni radio times fm) mda wote anasifia timu ya chelsi na kuiponda...
soko la mahakama ya ndizi linavunjwa na hali si shwari risasi na mabomu ya machozi wafanyabiashara naona wamereact,mliokaribu fuatilieni hatma ya hapo mahali,wenzetu watafanyia wapi biashara kila...
Hamjambo kwa mara nyingine wanajamii, mfumo huu wa umeme umenishangaza, hapa ni jijini Dar es Salaam, mtaa wa Ohio, mkabala na hoteli ya Movenpick, karibu kabisa na Barclays Bank Ohio. kuna waya...
Look at South Africa, US, Brazil, China, Morocco, Algeria .
Look at how Addis is starting to look, look at Abidjan.
This highway will change Nairobi for ever. I hope it wont be the only highway...
National Microfinance bank (NMB) ni benki ambayo kwa muda mwingi imekuwa ikitambulika kama benki ya makabwera. na juhudi nyingi zimekuwa zikichukuliwa na serikali yetu(ingawa haimilikikiwi 100% na...
Nimesikia tetesi kuwa, jamaa mmoja aliyekuwa mchungaji baadae kuacha/kustaafu huko Loriondo amegundua dawa ambayo ni single dose (kikombe kimoja tu) ya kutibu magonjwa yanayosumbua wataalamu wa...
Soko la Mahakama ya ndizi lililopo Manzese jijini Dar es Salaam hivi sasa linavunjwa. Risasi na mabomu zinarindima, vile vile kuna Gongo la Mboto (Mabomu) yanatumika kwa sasa, na barabara ya...
Hapa ni mti wa papai, leo nimekumbuka faida mbili za majani ya mipapai moja ni dawa ya tumbo hasa kama una tatizo la choo kubwa . Unachukua hayo majanai na unachemsha na halafu unakunywa yale maji...
Heshima kwenu wana jamii forum.ndugu zangu nadhani umeme ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku kutokana na kukatika katika kwa umeme kumezua migogolo mingi sana mfano mimi ninafanya...
Jamani nimeamka salama na nipo ktk daladala naenda kusaka tonge ,gari limeshona watu ,nyuso zimesinyaa,kope zimelegea ,watoto wa shule ya msingi ila wote wamejaa mvi kweli maisha yanatisha watu...
Waungwana ijumaa wiki hii tutaangalia "Pamba: Ruzuku ya pembejeo imeongezeka, Uzalishaji Unashuka."
Mantiki hapa ni kwamba wakati serikali ilikuwa haitoi ruzuku uzalishaji ulipanda na kufikia...
Kwa kweli labda niulize aliemodify hii jezi ni nani kabla sijaelekea husika
jamani mlioona hizi jezi mpya n masikitko matupu kwanza naanaza kwa vitambaa mlivyochagua yaani ni bomu ovyo kabisa pili...
Wana JF naleta wazo tutengeneze list ya Great Tanzanian ambao wamepata kutokea ambao bado wanaisha au walishatangulia mbele za haki. List hii ningependa iwe ya great thinker ambayo haitakuwa...
''......hata kwa maeneo yaliyo mbali na viwanda vya sukari bei haiwezi kuzidi shilingi 1,700/= kwa kilo. Atakayeuza kwa bei kubwa zaidi ya hiyo anadhulumu,TAARIFA ZITOLEWE ILI HATUA KINIDHAMU NA...
Nakiri hadharani kwamba sijaelewa sehemu kubwa ya hotuoba ya rais ya mwisho wa mezi huu. katika haya yalionigusa na kufanya niandike hapa ni yafuatayo:-
Rais amedai kua kuna watoto ambao bado...
Ni kawaida kwa Rais kuhutubia wananchi wake kila mwisho wa mwezi, tar 28 Rais alikua na agenda tano, mojawapo ilikua kupanda kwa bei ya sukari.
Kutokana na spidi kubwa ya kupanda kwa bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.