Mabomu ya gongolamboto (inatisha)

Mabomu ya gongolamboto (inatisha)

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Nimesikia sasa hivi kwamba huko kitunda kuna utumbo wa binadamu unaning'inia kwenye waya wa umeme mpaka hivi sasa ninapoandika, ni habari inayonishangaza na nimeona niirushe kwa faida ya wanajamii wengine.

SOURCE: Bonge wa Power Breakfast ya Clouds FM 07:40 AM EAT
 
Duh! Hi inatisha sana.. . . Yan Gongo la Mboto imegeuka ''war zone''
 
Mabomu yametapakaa eneo kubwa la mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, taarifa kutoka Rufiji zinasema bomu kubwa limeokotwa karibu na mji wa Ikwiriri
 
ndo amani tunayo hubiriwa kila cku! Nasi kimya kama tumelishwa limbwata vile! Yangu macho
 
With the kind of people we have in the GOVT na uzembe wao we should expect more of this crap
people are dying,
loss of property
psychological effects on kids,
starving women and childre
what kind of generation are we trying to build?
we should blame nobody when the time to reap comes.
"LETS HAVE A SERIOUS GOVERNMENT IN PLACE.
A GOVT THAT WILL TRY TO USE ALL THE EXPERTS WE HAVE HERE TO MAKE THINGS RT.
A GOVT THAT HAS THE INTEREST OF THE PEOPLE
A GOVT THAT SHALL BE RESPONSIBLE FOR EVERYTHING THAT HAPPENS
A GOVT THAT CARES FOR THE COMMON MWANANCHI"
if i continue i might wep
gotta go
sob!sob! sob!
 
Nimesikia sasa hivi kwamba huko kitunda kuna utumbo wa binadamu unaning'inia kwenye waya wa umeme mpaka hivi sasa ninapoandika, ni habari inayonishangaza na nimeona niirushe kwa faida ya wanajamii wengine.

SOURCE: Bonge wa Power Breakfast ya Clouds FM 07:40 AM EAT
Nami nimeisikia hiyo taarifa ya Bonge, utumbo hadi leo? yaani hadi mwili unasisimka, poleni jamani ndg zetu wa Gongo la Mboto, Mungu awape uvumilivu na kusahau
 
Lkn ndiyo serikali yetu hii tutafanyaje? Tulipewa nafasi ya kuiondoa madarakani mwaka jana tukakataa na sasa waache tu watukomeshe
 
Back
Top Bottom