Magazeti ya bongo yanatuzingua tu!

Magazeti ya bongo yanatuzingua tu!

luckyperc

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
495
Reaction score
46
Haya magazeti yaliandika kuhusu kuja kwa mmiliki wa Dowans, Eti amekataa kupigwa picha:
  1. NIPASHE
  2. MWANANCHI
  3. MAJIRA
  4. MINGINE........
issue kubwa kama hii unasema hakuna picha unaweka maandishi 2! ni mgegoma kumsikiliza na kususia kikao chake.
Nyie waandishi ninani aliwakataza msimpige picha huyo JAMBAZI SUGU!
Teteeni taaluma yenu.
 
Hapo kwenye red mh!!
 
Back
Top Bottom