Siku ya mwisho wanyama wote nao wataenda mbinguni au jehanun? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya mwisho wanyama wote nao wataenda mbinguni au jehanun?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchekechoni, Dec 27, 2010.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama wanyama wote wataenda mbinguni au motoni, what about mende na sisimizi?
   
 2. m

  matambo JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  umeamua kuongeza POSTS AU?
   
 3. Mntambo

  Mntambo Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Biblia inasema kutakuwa na utawala mpya hapa duniani utakaoanzishwa na Mungu mwenyewe.Ndio, wanyama wote watakuwepo pia! Tafadhali soma kitabu cha Isaya sura ya 11 mstari wa 1 hadi wa 9 utayapata hayo.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Soma historia ya nuhu waliekea wapi??
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nilisoma mahala panapozungumzia wanyama wawili-wawili (2x2); ng'ombe dume na jike, panya dume na jike n.k.....
   
 6. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mchekechoni, suali lako ni zuri sana!
  Nilivyokuelewa kama umekariri kutoka sehem ya maandiko au umesikia sehem...sasa vzuri ungetutajia ili upate msaada wa majibu mazuri...pia suali hilo linajibiwa ki-iman zaidi...sijaelewa kwanza ww ipi imani yako?
   
 7. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 676
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 80
  Nashukuru sana, kwa swali hili, siku zote huwa najiuliza je mungu ni wanadamu tu au na viumbe wote, kwanini wanadamu ndiyo wanaona wana haki ya kutalawa dunia wakati wao pia ni sehemu ya wanyama, je watu wa dini hawasemi ukweli?
   
 8. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Donkey!
  Watu wa dini gani?
   
 9. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Unakaa wapi ndugu? Inaelekea ni mchovu mwenzangu ambaye nyumba haziishi mende wanene na sisimizi wanaofuatilia harufu ya vitunguu!
  Pole sana ndugu, ila jitahidi kufunika vizuri chakula maana kila siku utakuwa unakuta kuna mayai ya mende na sisimizi wamejaa kwenye kopo la sukari.
  Kwel;i hao wadudu wanaudhi, ndiyo maana umeshindwa kuwapeleka Jehanum au Mbinguni!
  LoL
   
 10. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 676
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 80
  Je mnafahamu kuwa uisilamu na ukristo ni dini za kuletwa na wakoloni, mbona hamtaki kujitambua,wanyama na viumbe wote wana haki ya kutendewa kiutu hata kama hawaongei
   
 11. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kiimani kuna kiyama na hukumu ya mwisho. Simba aliyerarua punda milia mbugani ngorongoro kujipatia mlo wake wa mchana hana hukumu? Na mamba wa mto rufiji aliyeua mtoto wa mkulima hana hukumu, ila mtoto wa mkulima na wazazi wake watahukumiwa? Na wauza sumu ya panya? Think great thinkers!
   
 12. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Jamani mbavu zangu mmmiiieee!
  Kama ndio hivyo ni hatari tupu...wanao uwa mbu(mosquitos) nao watahukumiwa?
   
 13. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  its complicated, hakuna mwenye ufaham wa kutosha juu ya jambo hilo.
   
 14. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  mchekechoni umegongewa Thanks na Nyumbu. Ila hii post yako imekaa ki MS MS!
   
 15. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Unauliza maswali ya dini unategemea kupata majibu hapa?
  Kama upo serious wataka kujua, nenda kwa wasomi wa dini yako wakuelezee.
  Hapa hata mimi ninaweza kukujibu, halafu utakereka au utaishia kulishwa "kasa lenye sumu" likakuharibia imani yako.
   
 16. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,194
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Fanya jaribio hili rahisi utapata jibu na ukipata jibu kama langu halafu utujuze wote jf! muue panya mtupe jaani Baada ya siku tatu atageuka funza Nao kazi yao ikiisha; Watakuwa Udongo wenye mbolea nzuri. Baadaye zitaota nyasi za kijani nzuri. Atakuja mbuzi atazila Na baadaye mbuzi huyo atasikia haja kubwa atajisaidia huo ni mzunguko hata wewe utaupitia Hapo je umesha fika mbinguni? kama ndivyo ndivyo hivyo;!
   
 17. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  @mgen you're a philosopher, nimependa narration yako, but according to holy books mbingu na dunia ni vitu viwili tofauti. Dunia ni material na mbingu ni spiritual, on judgement day ni roho ndio inayohukumiwa & basically iwe ni mtu, mdudu au mnyama miili yao after death inakuwa recycled hapa duniani hilo halina ubishi. Binadamu ana roho ambayo haifi na wanyama je? Think big all great thinkers!
   
 18. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chama cha kutetea haki za wanyama nchini tz kimelaumu serikali kwa kutotenga maeneo maalum ya kuhifadhi wanyama waliopatwa na mtafaruku wa mabomu ya gongolamboto. Baada ya milipuko wanyama walitaharuki na kukimbia, hivyo chama hicho kimeanza kuwakusanya ili kutoa tiba na chanjo. Source: itv, 8pm newz. Je ni dalili kuwa wanyama nao hurithi ufalme wa milele?
   
Loading...