breaking news:Gadaffi has left to south america | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

breaking news:Gadaffi has left to south america

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Feb 21, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  Guys hizi habari nimezipata kutoka tripol but soon nitakuja na confirmation report so stay tuned
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  BREAKING NEWS:Colonel Gaddafi's son, Sayf al-Islam, appears on Libyan TV and accuses people outside Libya of provoking violence
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huyo haendi popote. Kama angekuwa wa kuondoka asingemuacha mwanae nyuma.
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Al Jazeera spoke to one protester on the phone, amid noisy crowds, in Tripoli. Al Jazeera asked if Gaddafi was trying to impose a curfew in the city.

  "To be honest with you, no-one is listening to anything he says any more. Apparently, the son was meant to come out and give a speech - and everybody said, you know: '42 years too late, mate. It's not going to happen now, we're not going to listen to you, you better make your move.'

  Among the crowd, we obviously have people here who are pro-government who are trying to spread rumours. Somebody will say: 'Al Jazeera just said that Gaddafi has run away from Libya,' and so everybody thinks: 'Okay, let's go home,' and then they make some calls and find it's just a marketing campaign or something just to make us go home.

  But I don't think anyone's ready to go home. To be honest with you now, I don't think these people are after Gaddafi. More than anything else now, they're after blood."


  Live Blog - Libya | Al Jazeera Blogs
   
 6. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,224
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  Gaddhai's son was on TV , however he confessed that ''the time he went to record'', clear indication it was not live broadcast. He accused foreign inteference and admitted mistakes by the military and untrained police who killed civilians.
  He vowed to fight to the last man and last bullet.
  Meanwhile, the Benghazi city is under control of protesters after capturing the AL-FAIDA brigade HQ. People are on the streets chanting and celebrating. Police and military have melted in the streets.
  It has also been reported that fierce clashes between protesters and government machines is going on in Tripol.
  Nobody knows why Gaddafi did not appear on TV by himself.
  The observers are warning that it is too early to make any conclusion. It could be a tactic to retreat while planning a severe counter attack.

  Uncofirmed report had it that , the Tunisia oust leader Ben Ali who was in comatoes state in Saudi hospital has passed away. Still no confirmed report from Saudi officials.

  Rabat: Protesters have stormed the street in Rabat demanding for reform. As opposed to Jasmine revolution, the Maghreb people want king to relinguish some power to civilian and local government.

  In yemen, clashes between Police and protesters is still going on.
  Baharain, the situation is improving as demonstators have been allowed to peacefully gather in Pearl square.

  Will update .
  stay tune
   
 7. m

  mzambia JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kikwete naye aikimbie nchi aende zake burma siyo mpaka asubiri maandamano yatokee ndo akimbie nchi ishamshinda hii.
   
 8. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  I dont think Gaddaf is going to give up so easily!

  Lets wait as story unfolds................
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kama akiondoka Gadaffi... basi hata JK anaweza kuondoka
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,808
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Gadaffi alishakimbia nchi siku nyingi sana, na ndiyo maana haya maandamano yameanza!

  Nchi inatawaliwa na mtoto wake, ingawaje 60% ya wanajeshi hawamtii!

  So anguko la Gadaffi litakuwa rahisi zaidi kuliko Mubarak
   
 11. N

  Ntuya Senior Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mapinduzi ya umma yanaendelea hamna haja ya jeshi...kifuatacho ni vuguvugu la huko Africa kaskazini kushuka hapa East Africa na Kusini mwa Africa and so nawaomba watawala wetu wasome alama za nyakati. Muda wa kutokutii matakwa ya wananchi umefikia kikomo. Peoples Power the only way to bring back the freedom of Tanzanians and all Africans. Aluta Continua
   
 12. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapa naangalia Al-jazeera live na ninaona wananchi wamechoma moto kituo cha television ya Taifa na
  jengo kubwa la muhimu kwa serikali ya Libya
   
 13. Challenger

  Challenger Member

  #13
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama kuna nchi au kikundi cha watu behind this sokomoko kwenye nchi za kiarabu basi amewin, ni vita ya kisayansi ambayo haitaji matumizi ya silaha za kutisha na madege ya ajabu
   
 14. Challenger

  Challenger Member

  #14
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Au Bro Baraka ana mkono wake????
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  may b,capitalist wana mambo yao mkuu
   
 16. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa Ghadaffi yeye amedai kua hawatishwi na kitu chochote watapigana mpaka saa ya mwisho lakini baba yake hataondoka madarakani kwa nguvu ya umma!
   
 17. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mimi mwenzenu nilikuwa mmojawapo wa wakimbiaji wa mabomu ya gongo la mboto. Ni Kati ya wale waliokimbia kuelekea chanika. Nikiwa huko mstuni kwenye maficho, nilijifunza mambo mengi sana. Kwanza ndiko nilikojua kwamba makambi yote ya jeshi yalimpa kura Slaa, yakamnyima Kikwete, Pili, ndipo nilipojua kwamba watanzania wamemchoka kikwete kwa kumaanisha na si kwa utani. Watanzania wengi wanasubiri tu muongozaji wa kuwaelekeza cha kufanya ili kwamba waweze kuingia katika maandamano ya kumuondoa Nduli Kikwete.

  Watanzania wanatamani uchaguzi urudiwe ili waweze kufanya maamuzi sahihi. wengi wanajuta sana juu ya uamuzi wao wa kumchagua huyu kiongozi dikteta asiyeyahurumia maisha ya watanzania. Wapo waliofika mahali wakaonyesha wazi kuchoka na utawala huu wa kidemokrasia ambao unawaumiza na kuwakandamiza na kuona ni bora utawala wa kijeshi ambao unafahamika kuwa ni wa kikatili kuliko huu wa kidemokrasia ndani ya udikteta na ukatili mkubwa. Watu walikumbushana juu ya hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbli na kuongezeka kwa jumla kwa gharama ya maisha.

  Watanzania wapo tayari kuandamana kuanzia sasa, anakosekana tu mhamasishaji. Kama atajitokeza yeyote ambaye yupo tayari kuanzisha hili vagi basi aamini kwamba watanzania wengi watamuunga mkono kwa dhati kabisa. Watanzania wamechoka, na kwa hisia za harakaharaka ni kwamba wanajeshi wanalipua yale mabomu makusudi ili kuongeza hasira za watanzania dhidi ya serikali yao. Na hili linaonekana kupata mafanikio makubwa sana. Maana watanzania wana hasira na Nduli Kikwete kupita kawaida.
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Yeye anaongea kama nani!!!
   
 19. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ataondoka tu kwa nguvu ya umma!nguvu ya umma inatisha kuliko silaha!!
   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nafikiri siku zake zinahesabika!!baada ya siku tatu nguvu ya umma inaweza ikawa imemaliza kazi yake!!
   
Loading...