Unaweza hisi ni saa nane mchana watu wanaenda kusikiliza redio moja tu enzi hizo redio tanzania kipindi cha MAMA NA MWANA...lakini kwa masikitiko makubwa wapendwa nimeona niwape hii kwa manufaa...
Kwa hali ilivyo hivi sasa inanifanya nivute kumbukumbu zangu za miaka mingii sana nilishasoma hadithi ya wanyama ambao walikuwa na urafiki wa mashaka walipojumuika ktk sherehe mana simba alimtaka...
wanajamii naombeni mnipe ushauri.sasa hivi natumia king'amuzi cha star times but channel nilizonazo ni bored kwangu me.nasikia dish za gulf star zina channel nyingi za michezo zinaonyesha mipira...
Kuna tetesi kuwa vyandarua vya bure vinavyotolewa kwa akina mama kule kliniki huwa havitoshi kwenye vitanda,familia nyingi za kibongo huwa wanalala na mtoto hivyo chandarua hakiwatoshi.
Je...
Ndugu,
Leo walimu ktk manispaa ya iringa wacharuka ktk kudai fedha zao za mizigo na nauli, pia kuna tetesi ya mgomo mkubwa kutokea. Nimeshuhudia vyombo vya habari vikiwa bize kukamata matukie...
Nimegundua maisha magumu jamani wa-tz wenzangu ,yani kuna matendo yanatokea nchini kwetu hadi yanatia huruma,maisha magumu hadi inafikia kipindi watu wanafanya vitu out of their conscious,sikia...
Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekuwa ikipokea mamia kwa mamia ya mialiko ya kumwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kushiriki...
Kahama kumekucha chadema ipo kahama maandamano na wingi wa watu huku na wimbo wa chadema ukitumbuiza maafande nao wapo na mabom yao.NITAENDELEA KUWAJUZA.....pipooooz power.
mwanafunzi aliyetoroka kwao kutokana na kupata ziro katika matokeo yake ya kidato cha nne arejea nyumbnai kwao jana.
Jennifer alitoweka kwao Januari 30 mwaka huu kwa hofu ya kupewa adhabu na...
Jamani, sasa hivi niko kwenye daladala natoka tazara to posta, kunamtangazaji anaendesha kipindi cha mitikisiko ya pwami(nadhani ni radio times fm) mda wote anasifia timu ya chelsi na kuiponda...
soko la mahakama ya ndizi linavunjwa na hali si shwari risasi na mabomu ya machozi wafanyabiashara naona wamereact,mliokaribu fuatilieni hatma ya hapo mahali,wenzetu watafanyia wapi biashara kila...
Hamjambo kwa mara nyingine wanajamii, mfumo huu wa umeme umenishangaza, hapa ni jijini Dar es Salaam, mtaa wa Ohio, mkabala na hoteli ya Movenpick, karibu kabisa na Barclays Bank Ohio. kuna waya...
Look at South Africa, US, Brazil, China, Morocco, Algeria .
Look at how Addis is starting to look, look at Abidjan.
This highway will change Nairobi for ever. I hope it wont be the only highway...
National Microfinance bank (NMB) ni benki ambayo kwa muda mwingi imekuwa ikitambulika kama benki ya makabwera. na juhudi nyingi zimekuwa zikichukuliwa na serikali yetu(ingawa haimilikikiwi 100% na...
Nimesikia tetesi kuwa, jamaa mmoja aliyekuwa mchungaji baadae kuacha/kustaafu huko Loriondo amegundua dawa ambayo ni single dose (kikombe kimoja tu) ya kutibu magonjwa yanayosumbua wataalamu wa...
Soko la Mahakama ya ndizi lililopo Manzese jijini Dar es Salaam hivi sasa linavunjwa. Risasi na mabomu zinarindima, vile vile kuna Gongo la Mboto (Mabomu) yanatumika kwa sasa, na barabara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.