Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Nina shida na viwanja vya serikali vilivyopimwa, ila sijajua utaratibu wa kuvipata na procedures za kufuata mpaka ukimiliki kabisa. Huwa napata shida hapa. Au kama una shamba lako...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani nawaageni kwa muda wa miezi minne. Nitawamiss sana. Kuna kazi ya kuumiza kichwa natakiwa kuikamilisha ili nisijeliwa kichwa. Mungu akijalia tutaonana majaliwa.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Rank Countries Amount (GDP per capita) # 1 Equatorial Guinea: $16,507.00...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Priests in Sweden join the ranks of paedophiles The Catholic Church of Sweden confirms three priests are believed to have sexually abused children over the span of 30 years. It is...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ktk kuhangaika na maisha, nilijenga banda la kupangisha ili liniongezee kipato. Baada ya kumaliza tu akaja Baba mmoja mwenye heshima zake kuomba nimpe lile banda na atalipia mwaka mzima. Nikasema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wanaJF! Hizi ATMs leo zimegoma. Yaani nimetoka Dodoma asubuhi,ATMs pale Nyerere Square zilikua mfu. Nikaenda TIOT nako mbofu. Hapo nasafiri mfukoni sina hata chapaa. Nikajipa matumaini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wanaJF! Kwakweli huu mchezo kwa TZ unafanywa visivyo na mwishowe umekua ni kituo cha vijana kukaa siku nzima bila kujishughulisha! Kwa wale waliobahatika kutembea hapa TZ...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii ndiyo Bongo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwalimu mmoja wa CBE alijikuta akinyanganywa gari lake na denti baada ya denti kumuomba tcha huyo amtnlee sap kwani alikuwa mwaka wa mwisho kimasomo. Ticha alikubali lakini kwa shariti kuwa sup...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KATIKA hali isiyo ya kawaida wanawake wawili ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wamejikuta wakizichapa hadharani kugombania wateja eneo la Kariakoo jijini. Wanawake hao ambao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Madai ya Wasira, Cheyo na Mrema ya kwamba katika maandamo ambayo chama cha CDM kimekuwa kikiendesha katika ukanda wa ziwa, chama hicho kimekuwa kikihimiza wananchi kujipanga ili kuing'oa serikali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Daladala zinazotoa huduma kati ya pasua na moshi mjin zimegoma leo asubuh kwa madai ya kutaka kupanda kwa nauli.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
When you see the pictures below , you will understand why they want our cell phones through the x-ray machine. If you get asked to test your cell phone at the airport, this is the reason...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Boss says to secretary: For a week we will go abroad, so make arrangements. Secretary makes a call to Husband: For a week my boss and I will be going abroad, you look after...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa fidia ndogo hivi sio ajabu kwa serikali kutokuwa makini na usalama wa raia wake!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimepata msg sasa hivi, hapo bongo jua linawaka vilivyo, ila kunasikika ngurumo kama za radi au! Isije ikawa kuna sehemu kumeshaitika! Endapo kuna mtu aliye karibu au anayesikia hizo sauti za radi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TUMEZOEA kuambiwa na viongozi kwamba; “hali ya uchumi ni mbaya, wananchi fungeni mikanda.” Sasa ni zamu ya watawala nao kufunga mikanda ili nchi ihimili mtikisiko wa uchumi unaoelezwa kusababishwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikia katika kipindi cha harakati cha TBC Taifa, wakimhoji kamanda wa polisi wa shinyanga akidai kuwa Dr. Slaa ndiye alisambaza habari za kifo cha Brigedia huyo mstaafu. Na akasaema walikuwa...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
i have just received a message from the number in question with the message of warning to all muslims,..goes like this and i quote.. DO NOT DRINK NEW FANTA APPLE!IT CONTAINS...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
MFUNGWA anayetumikia kifungo cha miaka 11 jela, Amin Konshuma (28) jana alihukumiwa kifungo kingine cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuwaibia mali wanawake. Kifungo hicho cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom