Professionalism: Umeme wa kisanii huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Professionalism: Umeme wa kisanii huu hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukansola, Mar 2, 2011.

 1. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hamjambo kwa mara nyingine wanajamii, mfumo huu wa umeme umenishangaza, hapa ni jijini Dar es Salaam, mtaa wa Ohio, mkabala na hoteli ya Movenpick, karibu kabisa na Barclays Bank Ohio. kuna waya za umeme ambazo ziko supposed to be underground kwa inavyoonekana.

  Nimeweka picha:
  Picha ya kwanza inaonesha waya zikitoka juu ya nguzo kuelekea chini.

  Picha nyingine inaonesha waya hizo zikitambaa kueleka kwenye vibanda ambavyo vipo opposite na Peugeot House (sijui kama bado inaitwa hivyo) lakini badala ya kupita chini kwa chini (underground) zinaambaa na ukingo wa bustani mpaka huko ziendako

  kali zaidi kuna mahali zimeungwa kwa ile wenyewe wanaitaga selo tape, hapo nilipozungushia nyekundu

  Naomba kuwakilisha.
   

  Attached Files:

Loading...