Wenzetu wakenya

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Look at South Africa, US, Brazil, China, Morocco, Algeria .
Look at how Addis is starting to look, look at Abidjan.
This highway will change Nairobi for ever. I hope it wont be the only highway in the future sisi raisi anabwabaja pumba na kuuza sura kwenye TV
Lot-3.jpg

Location: Kenyatta University (KU) - Thika
Distance: 23.9km
Contractor: Sheng Li Engineering Construction Co.
Cost: 9.4 Billion
Percentage Done: 26%

Lot 3 is the longest in terms of overall road length and it involves less construction of complex interchanges. As of now most of the overpasses that were to replace all roundabouts are complete so whats remaining is the road itself.The project is fully in Central Province starting at the border of Nairobi Province to Central Province and ending in Thika.

The Major works on this section include:
1. Widening the dual carriage way from KU to 6 lanes upto Juja.
2. Construction of a standard 4 lane road with paved shoulders from Juja till Thika.
3. Construction of a 6 lane overpass at the Bypass section and provision of service roads and footpaths.
4. Street Lighting and Junction improvements.
5. Storm drains.
6. Road Markings and Highway Signage.
7. Construction of 3 Railway Bridges.
8. Construction of Flyovers at places which had roundabouts.

183300_196286103723396_160894643929209_686249_1395758_n.jpg

Mnaona? wenzetu hawaongei hawana perepere wanafanya mambo.....
5292510721_455cda7338_b.jpg

wazee hii ni nairobi-thika road project alafu si mnajua wenzetu hawategemei hata senti toka kwa wafadhili?

Bypass2.jpg

3lanes.jpg
 
bridge.jpg

hizi ni abunuwasi kwa watanzania......
 
Kweli we uliyetoa mada ni yoyo, hata Dr. Slaa mwenyewe alishakiri kuwa miradi mikubwa kama ya ujenzi lazima aidha ukope au upate msaada kutoka kwa wafadhili. Tofauti na hapo muwe na mfuko special wa barabara na hilo halipo Kenya. Wewe siyo mtania wewe nenda kwenu kenya.

Urefu wenyewe wa barabara ni km 24. Ingekua mia je? Kwa urefu huo hata TZ wanaweza bila kutegemea wahisani issue ni political will. Uganda ndiyo nchi pekee ambayo kwa asilimia kubwa haitegemei wafadhili kujazia bajeti ya nchi.
 
lolz mkuu nenda kachangie pumba za prezidaa wako.....uganda wana nini mpaka waweze bila wazungu?? hizo ndio excuse zenu zisikuwa na msingi
nonuk_roundabout_8_cars.gif

ona kipita shoto hicho gari nane.....najua unaona ndoto
 
sio lazima watengeneze hayo madaraja sie waTZ watutengenezee hata za chini
 
Sisi tumekalia kuomba omba tu - wakenya ni kweli kabisa wametuacha tena kwa speed kali. kukuhakikishia hilo ungetoa hizo picha bila kutaja ni nchi gani watu wangesema ni japan, arabuni na kwingineko.

Kwa uongozi wa CCM mimi nimeshakataa tamaa kabisa nduguzangu, wanasiasa wanapokuwa ma-engineer ni hatari kwa taifa.

Hatuna hata mradi mmoja wa kujivunia - sana sana tuna mradi wa kununua DOWANS tu basi ndipo akili zetu zilipogota. Pole sana Tanzania na viongozi wako wasio na focus & vision.
 
Tusijifananishe na Kenya hata kidogo.
Siye huku tunajivunia na Amani huku tunakufa njaa.
 
Hata umeme wao tayari wanatumia Thermal Power wakati waTZ hata hawaujui maana yake
 
Wenzetu wakichapana kisha wanasonga mbele, je sisi amani yetu tunaitumiaje? mbona hatupigi hatua ya maendeleo ya maana kuzidi tunaowacheka?

Nimegundua hakuna mahusiano kati ya Maendeleo na Amani!
 
Yote yawezekana ccm ikipigwa chini ufisadi wao ndo unaokwamisha mfano EPA,KAGODA,RICHMOND,DOWANS Kashfa BOT prezda kaufyata bila shaka ananemeka
 
Kweli we uliyetoa mada ni yoyo, hata Dr. Slaa mwenyewe alishakiri kuwa miradi mikubwa kama ya ujenzi lazima aidha ukope au upate msaada kutoka kwa wafadhili. Tofauti na hapo muwe na mfuko special wa barabara na hilo halipo Kenya. Wewe siyo mtania wewe nenda kwenu kenya.

Urefu wenyewe wa barabara ni km 24. Ingekua mia je? Kwa urefu huo hata TZ wanaweza bila kutegemea wahisani issue ni political will. Uganda ndiyo nchi pekee ambayo kwa asilimia kubwa haitegemei wafadhili kujazia bajeti ya nchi.

Kuna ka ukweli hapo
 
i think tusiende uko wa apa kwetu bongo tukijengewa za chini itatosha tu
 
hapo sasa porojo nyingi wenzetu wapo kimya wanafanya mambo yao

Kilimasera!

Hiyo nikweli tupu. sisi wa TZ kwa porojo! kama tumerogwa vile, halafu tunapenda kweli vitu vizuri vizuri ila kufanya kazi tunafanyia midomo na visingizio kibao! ili tufanye kazi lazima kuwe na mtu kasimama na bakora yaani dictator wa nguvu kama amini hivi. vinginevyo tutabaki tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom