Tume ya kuchunguza bei ya sukari tz!

Tume ya kuchunguza bei ya sukari tz!

Sakoyo

Senior Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
135
Reaction score
7
Hamuwezi kuamini kuwa prezidaa ataunda tume ya kuchunguza bei ya sukari kupand baada ya kuona "bango" hili kutoka mwanza!
 
Rais Kikwete anastahili nickname ya "MZEE WA TUME"
 
Hamuwezi kuamini kuwa prezidaa ataunda tume ya kuchunguza bei ya sukari kupand baada ya kuona "bango" hili kutoka mwanza!

Bango lipi? acha haraka ya kutuma post kuwa makini mkuu
 
hee kama umesahau main part ya msg yako sina uhakika kama unakumbukaga kuvaa ...........................!!!!
 
Back
Top Bottom