Urafiki wa mashaka tz.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urafiki wa mashaka tz....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Mar 3, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kwa hali ilivyo hivi sasa inanifanya nivute kumbukumbu zangu za miaka mingii sana nilishasoma hadithi ya wanyama ambao walikuwa na urafiki wa mashaka walipojumuika ktk sherehe mana simba alimtaka swala,pundamilia,nyati,fisi ,twiga yani wote walikuwa wanaogopana ila wanajidai wanapendana...turudi tz yetu ya leo kipindi cha mkwere inafikia muda hadi tunajenga urafiki wa kinafiki na watu hata ambao wanatuumiza kimapato,vituko vinazidi kuongezeka mtu anapanda daladala akidaiwa nauli unasikia oooh !mie staff ,halipi nauli..wengne wanaforge vitambulisho,inafikia hadi wengne wanavaa sare za jeshi au polisi wasafiri bure ,lol!!lord have mercy on us,,utauona pia urafiki wa mashaka pale watu wanapojenga urafiki na mama lishe walau wapate makoko ya wali au ugali ,inawapasa waweke urafiki wa mashaka na ma-lishe ili matumbo yao yacheke...kweli mjinga msifie then upate mafavor mengi.,huyu mkwere ana marafiki wengi wa mashaka ambao wanamsifia,wanamzomea,wanamdanganya huku nchi ikiwa ktk critical situation,wa-tz hali ni mbaya inafikia hata ktk familia baba na mama wanaogopana kisa hela hakuna..wapendwa poleni kwa kuwachosha bt naomba mnijibu nani amfunge paka kengele ili tuondokane na urafiki wa kimashakamashaka?
   
Loading...