Maandamano chadema hivi sasa yapo kahama

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Kahama kumekucha chadema ipo kahama maandamano na wingi wa watu huku na wimbo wa chadema ukitumbuiza maafande nao wapo na mabom yao.NITAENDELEA KUWAJUZA.....pipooooz power.
 
Habari njema, any more news!!

hivi sasa saa 2:25 ndiyo kwanza mzee mbowe anapanda jukwaan kuongea wana kahama hii ni baada ya utamburisho wa madiwani na wabunge.ila mpaka sasa amani ipo %100
 
Tunachoomba ni amani wasije Chadema wakachafua amani yetu.
una uhakika una amani hapo ulipo? au umekubali kufunikwa ndani ya chungu cheusi juu kuna jiwe na juu ya hilo jiwe makamba kalikalia. pole mwanakwetu.
 
Kahama kumekucha chadema ipo kahama maandamano na wingi wa watu huku na wimbo wa chadema ukitumbuiza maafande nao wapo na mabom yao.NITAENDELEA KUWAJUZA.....pipooooz power.

Kama mambo yenyewe ndio hivi sijui kama usingizi utapatikana mwaka huu kwa baadhi ya wapenda kidumu. SAUTI YA UMMA NI SAUTI YA MUNGU.
 
Mida hii hii hapa kahama watu wamejaa ile mbaya mbowe ndo kiongozi mkuu na nimepigiwa simu toka maswa inasemekana napo uwanja umeshona.kiongozi mkuu huko maswa ni dr slaa. Pipoz pawaaaaa.
 
jitahidini mtupe na picha za kutosha jamani tunataka kuthibitisha umati wa watu uliopo!~
 
Tunachoomba ni amani wasije Chadema wakachafua amani yetu.

Wewe ni miongoni mwa wa TZ wenye mitindio ya ubongo. Hakuna namna nyingine ila nyie ni kuwapa live. Amani yako na nani? Watu wanalala njaa, wanakufa kwa kukosa dawa hsptl, huduma za jamii zote juu, dowans nk afu unasema amani yako na familia yako tu au na mafisadi?
 
Mbowe anamalizia nao anaaga anasema wanaenda ushirombo wilaya ya bukombe.
 
Hivi saa 3:21 ndo wamemaliza mkutano watu ni wengi mno wanatoka viwanja vya mpira kahama. Huo ndio mwisho wa ripoti kutoka hapa kahama kama kuna mtu yupo ushirombo naomba nae atujuze. Ila ningependa baada ya hapo tujadiliane mambo ya msingi aliyotuachia watu wa kahama.
 
Safi kabisa, uko sawa. Sasa tunaomba kwa muhitasari sana utupe yaliyojiri kwenye hotuba ya Kamanda mkuu.
 
Hivi saa 3:21 ndo wamemaliza mkutano watu ni wengi mno wanatoka viwanja vya mpira kahama. Huo ndio mwisho wa ripoti kutoka hapa kahama kama kuna mtu yupo ushirombo naomba nae atujuze. Ila ningependa baada ya hapo tujadiliane mambo ya msingi aliyotuachia watu wa kahama.

ubarikiwe sana mdau.
 
jitahidini mtupe na picha za kutosha jamani tunataka kuthibitisha umati wa watu uliopo!~

mkuu picha nimeshindwa kuchukua maana hapa ninana simu mbovu upande wa kamera ila tupo pamoja
 
Wewe ni miongoni mwa wa TZ wenye mitindio ya ubongo. Hakuna namna nyingine ila nyie ni kuwapa live. Amani yako na nani? Watu wanalala njaa, wanakufa kwa kukosa dawa hsptl, huduma za jamii zote juu, dowans nk afu unasema amani yako na familia yako tu au na mafisadi?

nadhani huyo jamaa ni kijani pyuaaa
 
nasikia JK amesafiri kwenda kula bata nje ya nchi kusikojulikana. Ingekuwa nchi za west africa, jeshi lingeshaiokoa nchi.
 
Tunachoomba ni amani wasije Chadema wakachafua amani yetu.

mkuu nikweli? Au ulitaka kuandika ujumbe wako kwa kutumia rangi ya kijani bahati mbaya ukapost kabla huja edit. Lol karibu mkuu.
 
CDM, endeleza mapambano hadi kieleweke na msoga musiache kufika na jukwaa la mkutano lijengwe mbele ya hekalu la huyu mtu wsiyejua wajibu wake.
 
Back
Top Bottom