i need help

yakub

Member
Feb 25, 2011
41
4
wanajamii naombeni mnipe ushauri.sasa hivi natumia king'amuzi cha star times but channel nilizonazo ni bored kwangu me.nasikia dish za gulf star zina channel nyingi za michezo zinaonyesha mipira ya ligi ya ulaya.hivyo wanajamii naomba mnipe detail za gulf star na chanel zinazopatikana. Thanx
 
ukiondoa alJazeera, msnbc, bbc na kbc (b'se uefa) star times hovyo!
 
Back
Top Bottom