Soko la mahakama ya ndizi manzese linavunjwa

nguluvisonzo

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
515
71
soko la mahakama ya ndizi linavunjwa na hali si shwari risasi na mabomu ya machozi wafanyabiashara naona wamereact,mliokaribu fuatilieni hatma ya hapo mahali,wenzetu watafanyia wapi biashara kila wanapopelekwa baada ya muda wanafukuzwa kwa risasi na mabomu

Source redio one breakin news
 
Kuleni ugali na wali; ndizi tuachieni sisi wa mikoani
 
Nasema siku WATANZANIA WATAKAPO SEMA TUMECHOKA ya Libya,Tunisia,Iraq, na kwingineko itakuwa cha mtoto..... nasema ole wenu mnaotumia madaraka vibaya dawa yenu iko jikoni inachemka ikiiva mtakoma mtajuta nawaambia......
sisemi hivyo kwa kuwatisha ama kuhamasisha vurugu la hasha bali huo ndio ukweli wenyewe wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli ingawa unauma.

Poleni nduguzangu iko siku Mungu ataskia kilio chenu.....
 
Back
Top Bottom