Ewura wanaifilisi serikali jamani.doller 24,000*11 loh!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ewura wanaifilisi serikali jamani.doller 24,000*11 loh!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 3, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Unaweza hisi ni saa nane mchana watu wanaenda kusikiliza redio moja tu enzi hizo redio tanzania kipindi cha MAMA NA MWANA...lakini kwa masikitiko makubwa wapendwa nimeona niwape hii kwa manufaa ya umma hii EWURA Ni wafilisi wakubwa wa kodi za watanzania..sijui serikali ina makusudi gan ama ndio pesa za mkwere zinapitishiwa hapo kwenye bajeti..karibun wah 11 waanaandamana BUSSINESS CLASS wakikatiwa tkt za kuzuzura ovyo za zaiidi ya nchi 7kwa usd 24,000 kwa mmoja...kampun moja inahusika kufanya xxxxx na mengineyo pamoja na hotel za wah ...kwa kweli n masikitiko makubwa kuona watu wa gongo la mboto wanatafuta hela za kufidiwa na huku wahh wakihaha na nchi za watu hapo n nje ya Per Diem

  Mungu shuka naomba ushuke bwana YESU ...
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hata mimi nilishasikia matumizi makubwa yasiyo ya lazima wala yasiyoendana na hali halisi ya nchi yetu yafanywayo ewura. fikiri wanapata 1% kwa mauzo ya mafuta, maji na umeme, hizo ni bil ngapi kwa mwaka? zote hizi wao ni special kiasi gani katika nchi hii?

  any way, yangu macho na masikio!
   
Loading...