Askari wetu wanadhani kulipua mabomu kila siku ili kutisha raia ndiyo suluhisho?
Hawajui kuwa Binadamu tuna hulka ya kujenga mazoea na mambo yanayojitokeza mara kwa mara?
Wakati ukifika, tukayazoea hayo mabomu watafanyaje sasa?
Inabidi watafute njia mbadala ya kudhibiti hasira ya umma, kuliko kupambana nayo. Njia sahihi ya kudhibiti hizo hasira ni kwa kuutendea haki Umma, vinginevyo njia wanazotumia ni za muda tu, na badala ya kudhibiti, zinachochea. The worst is yet to come kwa mtindo huu.........