Viwanja vya serekali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vya serekali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Carina, Mar 4, 2011.

 1. Carina

  Carina Senior Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wakuu,

  Nina shida na viwanja vya serikali vilivyopimwa, ila sijajua utaratibu wa kuvipata na procedures za kufuata mpaka ukimiliki kabisa. Huwa napata shida hapa.

  Au kama una shamba lako umenunua unataka upime, inakuwaje procedures hapa??

  Ni hayo tu
   
 2. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari,

  viwanja vya serikali hua vinatangazwa pindi vinapokuwepo na halmashauri husika....

  kama uko DSM kwa sasa viwanja hakuna, vilivyopo ni vile vinavyomilikiwa na watu binafsi baada ya kuvinunua kutoka serikalini na wanaviuza kwa bei mbaya....

  kwa masuala ya kupima shamba na kutoa viwanja you can contact me......0713 348165
   
 3. Kifaranga

  Kifaranga Senior Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tumekupata "Mtanzania haswaaaa" je una hint labda vinaweza kutangazwa lini au huo mpango haupo kabisa???
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Nenda Kisarawe viko vya kumwaga
   
Loading...