Dr Slaa atuhumiwa kuzua kifo cha Dr Yohana Balele. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa atuhumiwa kuzua kifo cha Dr Yohana Balele.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngandema Bwila, Mar 2, 2011.

 1. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimesikia katika kipindi cha harakati cha TBC Taifa, wakimhoji kamanda wa polisi wa shinyanga akidai kuwa Dr. Slaa ndiye alisambaza habari za kifo cha Brigedia huyo mstaafu. Na akasaema walikuwa wamewasiliana na mwanasheria kuona kama kuna kosa la jinai. Lakini wemebaini limekaa kimadai zaidi. Hivyo wana mwachia Dr. Balele mwenyewe akitaka afungue kesi ya madai dhidi ya Dr. Slaa atakapo toka hospitalini jijini Mwanza.
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,516
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Dr. Silaa alisambazaje hizo habari???
   
 3. L

  Leornado JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona jana kuna thread immeleza kuwa mkewe wa BOT kadhibitisha kuwa amefariki na wanafunga maturubai Kunduchi msibani?

  Mbona JF inakuwa na habari za kuchanganya sana cku hizi? ina maana jamaa hajafa?
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,761
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  THIS IS JF BWANA.......the home of majungu and uzushi....!
   
 5. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii kesi kweli kali hapa kesi hakuna
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh,siasa kweli si hasa
   
 7. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  dr Slaa naye alitangaza kifo hicho kupitia mfumo gani?
   
 8. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,018
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  unaropoka unafyatuka au unafikiri? tunaomba urekebishe kauli yako
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,617
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Hivi vyombo vya dola mbona vinamsakama Dr slaa. Hata kama ni kweli kosa kama hilo polisi wanajaribu kuangalia kama wanaweza kumshitaki slaa? Wanaacha kufanya uchunguzi wa masuala ya msingi wanawekeza kodi zetu kwenye siasa
   
 10. n

  nyantella JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 874
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Strange! kwahiyo jamaa yu hai! haya ni maajabu maana kuna mwana JF aliyeleta taarifa ya Lau Masha kuwa RC alisema yupo Bugando wana shughulikia usafirishaji wa mwili wa marehemu Balele, na ndipo akapata hizo taarifa za masha kuwa RC?? watu wengine bwana! Halafu na Slaa naye awe ana verify information zingine ona hili sasa.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,807
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  khe khe kheheheeeeeeeee... unakata tawi ulilokalia eh?? kweli wewe ni mahesabu

  Unaiita homu ya majungu wakati wewe umo humohumo sio?

  too funny mwanaCCM
   
 12. L

  Leornado JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  tena kuna waliodai wapo msibani Kunduchi....mmh.
   
 13. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 469
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Balele hajafariki ndugu zangu,taarifa kutoka kwa mtu ambaye yuko very close na Balele ameniambia jamaa yuko hai Bungando pale,kwa hiyo hayo mengine ni uzushi tu
   
 14. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kweli ukajandema bwila, ujue huo ni mchezo mchafu wa kisiasa dhidi ya Slaa. Atapata vijikesi uchwara vingi sana ili kumtengua kiuno kabla ya 2015. Si unajua tena? Lakini kwa vile Slaa ni mpambanaji mahiri, subiri tu.
   
 15. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 341
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwaka huu mtafungua kesi nyingi tu,songa mbele.
   
 16. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,553
  Likes Received: 624
  Trophy Points: 280
  Mimi pia niliziona humu ndani nikauliza kwa jamaa zake wa karibu wakasema hawajui duh nikashangaa, sasa nikamtafta kijana wake nikiwa na cautious kama kuna tatizo ataniambia mana namfahamu nikaongea nae dk 5 mda wote yuko poa na wala hajagusia hizo taarifa nikajua tumeingizwa mkenge hapa kwenye jukwaa!!
   
 17. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Katika mila zetu ni mwiko kumuita mtu aliyekuzidi umri muongo. Kwa minajili hiyo, kwa leo sitamuita Dr Slaa kuwa ni muongo ila ninasema kuwa si mkweli. Jana ametangazia umma kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Yohana Balele kuwa amefariki. Binafsi nilipata na mshtuko lakini nikasema na kujipa moyo kuwa kazi ya Mola haina makosa. Cha ajabu, leo ninaangalia habari TBC1, RPC wa Shinyanga amekanusha habari hiyo na kusema si kweli.
  Swali la kujiuliza ni kuwa je Dr alikuwa na nia gani kuzusha kifo? Najua walamba viatu wake wataibuka na kunishambulia.
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Endelea kusubiria Dubai ya Kigoma! Maisha bora kwa kila Mtanzania.
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  partial crap!
  Hujaona issues pertinent za kudiscuss?
  Ina maslahi gani kwa future ya nchi yetu?...Punguzeni bei ya sukari kama mlivyoahidi, trivial issues waachieni Uswazi!
   
 20. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,834
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Usije na nadharia hapa,ila lete chanzo au ushahidi kuwa Slaa alisema hayo.Ili lijadiliwe kwa fact na sio uzushi kama huu
   
Loading...