Wasira, Cheyo na Mrema wakamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasira, Cheyo na Mrema wakamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Byendangwero, Mar 4, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Madai ya Wasira, Cheyo na Mrema ya kwamba katika maandamo ambayo chama cha CDM kimekuwa kikiendesha katika ukanda wa ziwa, chama hicho kimekuwa kikihimiza wananchi kujipanga ili kuing'oa serikali iliyoko madarakani si ya kweli hata kidogo. Nimekuwa nikifuatilia maandamano hayo; sikuwahi kusikia kiongozi yeyote wa CDM akitamka maneno kama hayo. Hivyo hii agenda ya kung'oa serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano inaonekana kuwa ya Wasira, Cheyo na Mrema. Ndiyo maana nashauri wakamatwe na kuhojiwa kwa jambo hilo.
   
 2. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Unamzungumzia huyu siyo?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hawa wazee kijua ndio hicho kinakuchwa hivyo wanatafuta kuonekana kwa bwana mkubwa wapate mchele, teh
   
 4. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Duh nimestuka nikajua nimekosea venue ,nikadhani nipo jf zoo, loool !!
   
 5. M

  Mzee Mzima Senior Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umenichekesha sana......
  ila huyu jamaa hajaongea muda mrefu sana sasa anataka at least watu wajue kuwa bado yupo ili next cabinet reshuffle akirudishwa kilimo ili waendeleze biashara zao na bwana mkubwa watu wasishangae, kwa mrema na cheyo nahisi wanataka hela ya mafuta baada ya kupewa ya magari
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani mkuu umenivunja mbavu kabisa
  kwani cku hizi anatumia mkorogo mbona kawa mweupe au macho yangu
   
Loading...