Leo ATMs nazo zimegoma?!

Leo ATMs nazo zimegoma?!

Ubumuntu

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
14,387
Reaction score
10,965
Salaam wanaJF!

Hizi ATMs leo zimegoma. Yaani nimetoka Dodoma asubuhi,ATMs pale Nyerere Square zilikua mfu. Nikaenda TIOT nako mbofu. Hapo nasafiri mfukoni sina hata chapaa. Nikajipa matumaini ya kukuta ATM Morogoro pale karibu na Msamvu,nako nikakuta mbovu. Duh! Hapo sijatia chochote tumboni! Nikasema nitavumilia mpaka Dar. Kufika Ubungo hapa OilCom hadithi ile ile. Sasa nimekaa najiuliza nini maana ya kua ni hizi ATMs wakati almost nusu ya nchi hazitumiki. Wadau naongelea ATMs za CRDB,NBC na hata Stanbic!
 
pole sana mkuu,...na hayo ndiyo maisha yetu tunayoishi wa TZ ,....ukiangalia vyumba vya ATM utakuta mabango 24 hrs services lakn wapi ndugu yangu,mara saloon ya kiume kumbe wanauza pombe etc,...lakn serikali kimya......
 
Duh! Nimeenda CRDB UDSM nako bila bila. Ngoja nijaribu NBC Mlimani.
 
Dah! Hatimae nimefanikiwa. NBC Mlimani. Finally I can enjoy my own dough.
 
Now I have to eat. Big meal. I have been starving since morning!
 
Pole sana mkuu, hiyo ndio nchi yetu wenyewe!!!
 
Back
Top Bottom