Gongolamboto: Fidia sh milioni 8.6 kwa aliyekufa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gongolamboto: Fidia sh milioni 8.6 kwa aliyekufa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pmwasyoke, Mar 3, 2011.

 1. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Kwa fidia ndogo hivi sio ajabu kwa serikali kutokuwa makini na usalama wa raia wake!
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  WEWE UNAYETAKA KUBWA ULIIWEKA.....? NI MAKUSUDI? uliwakatiaBIMA ili walipwe fidia kubwa?(si neno la kuongea lakini inatokana na neno lililotangulia).......THIS IS NOT FIDIA YOU MAN
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wananchi wangapi wana uwezo wa kukatia bima maisha yao na mali zao Tanzania?
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mbona sisi wa Mbagala atukupewa kama wa Gongolamboto?tena na SUMA JKT watarepair nyumba zao!hivi Tanzania zipo mbili au ni macho yangu?.Kule Kwetu Mbagala yupo jirani alipewa Cheque ya 30000.kama fidia ya kuharibikiwa Nyumba yake...inauma sana wajameni
   
 5. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  bado hujadescribe ni fidia kwa kitu gani maana kama ni TV tu ndiyo iliyoungua mie naona ukilipwa 8.6 ni sawa!!inategemea na thamani ya kitu mkuu
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hebu iweke vizuri hii thread yako ieleweke, unamaanisha kiasi hicho ni kwa kila muathirika au?
   
 7. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tunaomba taarifa kamili iliyojaa kila kitu.
  Je hiyo ni fidia kwa kila mwananchi aliyeathirika?
  je hiyo ni pesa kwa sababu gani?
  je hiyo ni fidia kwa aliokufa tu?
  je hiyo ni fidia kwa waliounguliwa na nyumba zao??

  habari yako inatoa maswali mengi zaidi ya majibu.
   
 8. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hii sio fidia ni Kifuta machozi. Na ijulikane kwamba kifuta machozi hata ukipewa shilingi 200 ni sawa tu. Human life is never possible to value especially through monetary value.
   
 9. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Ni 'kifuta machozi' kwa wale waliopoteza ndugu zao. Nadhani serikali inatakiwa kwenda mbali zaidi ya hapo. Kama kwa mfano aliyekufa ndio alikuwa 'bread earner', hiyo milioni nane haiwezi kufuta machozi.
   
 10. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni kwa aliyekufa - ni kwa ajili ya uhai
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Soma kichwa cha thread - kwa kila aliyekufa - kwa uhai wa mtu
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Uhai wa mtu haufananishwi na pesa.
   
 13. Tumaini edson

  Tumaini edson Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu hii 'FIDIA' hata Rais wetu Mcheshekeshaji amekuwa akilikazania! Kumbe ni kitu cha kiungwana na cha kujidai unapoua ukakazana 'lazma tuwalipe fidia' hii ni Aibu, aibu kubwa sana, na napima uwezo wa akili aliokuwa nao 'Rahisi' wetu. Hata ungetoa fidia m100, bado hailingani na uhai wa mtu, hivyo isiwe kama sifa kusema lazima serikali ifidie, Cie tuna uchungu na Walalahoi wenzetu bana, Fidia kitu gani, wataendelea kutumaliza kisa Fidia.
   
Loading...