Jua la mchana saa sita: na hizi ni ngurumo za radi kweli au kuna mahali kimeitika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jua la mchana saa sita: na hizi ni ngurumo za radi kweli au kuna mahali kimeitika!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchekechoni, Mar 4, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimepata msg sasa hivi, hapo bongo jua linawaka vilivyo, ila kunasikika ngurumo kama za radi au! Isije ikawa kuna sehemu kumeshaitika! Endapo kuna mtu aliye karibu au anayesikia hizo sauti za radi mchana huu wa jua kali hasa maeneo ya ubungo/kigamboni/tabata/changanyikeni/lugalo/tegeta au sijui ni gongo la mboto tena maskini, atujuze kututoa wasiwasi plz.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  weee mbona unatutisha???? mhhhh mlio bongo pls tujuzeni yanayojiri kwa sasa.
   
Loading...