Somalia,DRC & Malawi are poorer than Tanzania, Viva CCM

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Rank Countries
opacity.gif
Amount (GDP per capita)
down.gif

# 1 Equatorial Guinea: $16,507.00
# 2 Mauritius: $13,029.00
# 3 Seychelles: $12,135.00
# 4 Morocco: $11,444.00
# 5 Libya: $11,354.00
# 6 South Africa: $11,035.00
# 7 Botswana: $10,866.00
# 8 Tunisia: $8,223.00
# 9 Algeria: $7,095.00
# 10 Gabon: $6,977.00
# 11 Namibia: $6,658.00
# 12 Cape Verde: $6,287.00
# 13 Swaziland: $5,181.00
# 14 Egypt: $4,282.00
# 15 Angola: $2,829.00
# 16 Ghana: $2,601.00
# 17 Sudan: $2,417.00
# 18 Zimbabwe: $2,413.00
# 19 Mauritania: $2,307.00
# 20 Cameroon: $2,284.00
# 21 Lesotho: $2,163.00
# 22 Gambia, The: $1,999.00
# 23 Guinea: $1,986.00
# 24 Djibouti: $1,957.00
# 25 Senegal: $1,914.00
# 26 Uganda: $1,817.00
# 27 Chad: $1,744.00
# 28 Comoros: $1,717.00
# 29 São Tomé and Príncipe: $1,638.00
# 30 Togo: $1,600.00
# 31 Côte d'Ivoire: $1,475.00
# 32 Rwanda: $1,431.00
# 33 Congo, Republic of the: $1,379.00
# 34 Mozambique: $1,335.00
# 35 Burkina Faso: $1,326.00
# 36 Nigeria: $1,188.00
# 37 Central African Republic: $1,163.00
# 38 Benin: $1,147.00
# 39 Kenya: $1,125.00
# 40 Mali: $1,084.00
# 41 Eritrea: $917.00
= 42 Madagascar: $911.00
= 42 Zambia: $911.00
# 44 Sierra Leone: $901.00
# 45 Liberia: $900.00
# 46 Niger: $896.00
# 47 Ethiopia: $859.00
# 48 Guinea-Bissau: $856.00
# 49 Burundi: $753.00
# 50 Tanzania: $720.00
# 51 Congo, Democratic Republic of the: $675.00
# 52 Somalia: $600.00
# 53 Malawi: $596.00

Source: http://www.nationmaster.com/graph/e..._gdp_per_cap-african-countries-gdp-per-capita
 
Kwa hiyo kwa miaka yote hamsini ya utawala wao tuko nafasi ya nne toka chini! Mweh!
 
Yeah, thats really something to be proud of. Si ndio? Wakati jirani zetu Kenya na Uganda wanapeta.. Viva CCm my foot!!
 
Rank Countries
opacity.gif
Amount (GDP per capita)
down.gif

# 1 Equatorial Guinea: $16,507.00
# 2 Mauritius: $13,029.00
# 3 Seychelles: $12,135.00
# 4 Morocco: $11,444.00
# 5 Libya: $11,354.00
# 6South Africa: $11,035.00
# 7 Botswana: $10,866.00
# 8 Tunisia: $8,223.00
# 9 Algeria: $7,095.00
# 10 Gabon: $6,977.00
# 11 Namibia: $6,658.00
# 12 Cape Verde: $6,287.00
# 13 Swaziland: $5,181.00
# 14 Egypt: $4,282.00
# 15 Angola: $2,829.00
# 16 Ghana: $2,601.00
# 17 Sudan: $2,417.00
# 18 Zimbabwe: $2,413.00
# 19 Mauritania: $2,307.00
# 20 Cameroon: $2,284.00
# 21 Lesotho: $2,163.00
# 22 Gambia, The: $1,999.00
# 23 Guinea: $1,986.00
# 24 Djibouti: $1,957.00
# 25 Senegal: $1,914.00
# 26 Uganda: $1,817.00
# 27 Chad: $1,744.00
# 28 Comoros: $1,717.00
# 29 São Tomé and Príncipe: $1,638.00
# 30 Togo: $1,600.00
# 31 Côte d'Ivoire: $1,475.00
# 32 Rwanda: $1,431.00
# 33 Congo, Republic of the: $1,379.00
# 34 Mozambique: $1,335.00
# 35 Burkina Faso: $1,326.00
# 36 Nigeria: $1,188.00
# 37 Central African Republic: $1,163.00
# 38 Benin: $1,147.00
# 39 Kenya: $1,125.00
# 40 Mali: $1,084.00
# 41 Eritrea: $917.00
= 42 Madagascar: $911.00
= 42 Zambia: $911.00
# 44 Sierra Leone: $901.00
# 45 Liberia: $900.00
# 46 Niger: $896.00
# 47 Ethiopia: $859.00
# 48 Guinea-Bissau: $856.00
# 49 Burundi: $753.00
# 50 Tanzania: $720.00
# 51 Congo, Democratic Republic of the: $675.00
# 52 Somalia: $600.00
# 53 Malawi: $596.00

Source: African Countries By GDP Per Capita gdp per capita (most recent) by country

Wachumi naomba ufafanuzi hapo maana Zim mambo ya Mugabe sii mazuri kihivyo lakini wako juu wakati mkate unauzwa mamilioni ya zim dollar!!, na South Africa, ni matajiri na wameendelea kwa kila nyanja kwani nini wako nafasi hiyo na resources zoote walizo nazo? na wale wa kwanza pale si ndio walikua wanazidunda siku si nyingi zilizopita?
 
Rank Countries
opacity.gif
Amount (GDP per capita)
down.gif

# 1 Equatorial Guinea: $16,507.00
# 2 Mauritius: $13,029.00
# 3 Seychelles: $12,135.00
# 4 Morocco: $11,444.00
# 5 Libya: $11,354.00
# 6 South Africa: $11,035.00
# 7 Botswana: $10,866.00
# 8 Tunisia: $8,223.00
# 9 Algeria: $7,095.00
# 10 Gabon: $6,977.00
# 11 Namibia: $6,658.00
# 12 Cape Verde: $6,287.00
# 13 Swaziland: $5,181.00
# 14 Egypt: $4,282.00
# 15 Angola: $2,829.00
# 16 Ghana: $2,601.00
# 17 Sudan: $2,417.00
# 18 Zimbabwe: $2,413.00
# 19 Mauritania: $2,307.00
# 20 Cameroon: $2,284.00
# 21 Lesotho: $2,163.00
# 22 Gambia, The: $1,999.00
# 23 Guinea: $1,986.00
# 24 Djibouti: $1,957.00
# 25 Senegal: $1,914.00
# 26 Uganda: $1,817.00
# 27 Chad: $1,744.00
# 28 Comoros: $1,717.00
# 29 São Tomé and Príncipe: $1,638.00
# 30 Togo: $1,600.00
# 31 Côte d'Ivoire: $1,475.00
# 32 Rwanda: $1,431.00
# 33 Congo, Republic of the: $1,379.00
# 34 Mozambique: $1,335.00
# 35 Burkina Faso: $1,326.00
# 36 Nigeria: $1,188.00
# 37 Central African Republic: $1,163.00
# 38 Benin: $1,147.00
# 39 Kenya: $1,125.00
# 40 Mali: $1,084.00
# 41 Eritrea: $917.00
= 42 Madagascar: $911.00
= 42 Zambia: $911.00
# 44 Sierra Leone: $901.00
# 45 Liberia: $900.00
# 46 Niger: $896.00
# 47 Ethiopia: $859.00 Hii nchi ni kame kulinganisha na Tanzania nadhani wao uchumi wao unasaidia wa airline yao licha ya kuwa kwenye vita lakini wameweza kuhakikisha ndege yao inapasua anga!
# 48 Guinea-Bissau: $856.00
# 49 Burundi: $753.00 Hawa walikuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe wametupita kwa nafasi moja. Hawana bandari mizigo yao kutoka nje wanatumia bandari yetu............
# 50 Tanzania: $720.00
# 51 Congo, Democratic Republic of the: $675.00
# 52 Somalia: $600.00
# 53 Malawi: $596.00

Source: African Countries By GDP Per Capita gdp per capita (most recent) by country

Nadhani hata sisi tunaweza bado hatujaamua kuthubutu.................
 
Somalia and DRC ni nchi zina na zimepitia vita, malawi ndo tuko juu yao kweli ccm wanatupa maendeleo! Hawa watu they must go very stupid hawana jipya
 
Ezan kwa kweli umefaulu kutuliza wengine - utajiri wa maliasili tulionao tumeshindwa kabisa kuugeuza manufaa ya taifa.
 
Ezan kwa kweli umefaulu kutuliza wengine - utajiri wa maliasili tulionao tumeshindwa kabisa kuugeuza manufaa ya taifa.

Samahani sikuwa na nia mbaya namimi nimeyakuta tuu kwenye mtandao nikafurahi then nikasema niwashirikishe wenzangu
 
Kwa hiyo kwa miaka yote hamsini ya utawala wao tuko nafasi ya nne toka chini! Mweh!

Na ukienda ukawashirikisha hii situation wananchi utaambiwa unasababisha uvunjifu wa amani, sijui amani ipi?
 
kikwete regime is the worst regime this country has ever gone through! only god knows what next is coming, inflation is real killing this country and poor people in it
 
Kwa hiyo kwa miaka yote hamsini ya utawala wao tuko nafasi ya nne toka chini! Mweh!

tena tuna almasi, dhahabu, gas, uranium, mount kilimanjaro, mbuga za wanyama all across the country. . . .but of course tuna ROSTAM swahiba wa JK!
 
na TANZANITE tunayo" yaani kila nikiendelea kuwaza roho inazidi kuuma
 
Back
Top Bottom