Wanavyuo wanatumiwa na wanasiasa. Nchi hatarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanavyuo wanatumiwa na wanasiasa. Nchi hatarini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zhu, Apr 18, 2011.

 1. Z

  Zhu Senior Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hali isiyoyakawaida vyuo vikuu tulivyo amini kuwa kuna wasomi sasa kuna wahuni. Msomi hujibu hoja si kuzomea hoja. Wanasiasa wawatumia wao hajui. Wakimaliza warudi kuomba kazi kwenye serilikali hiyo hiyo. Adabu hamna, uelewa mdogo, siasa zaidi. Unategemea nini kwa hili Taifa maskini.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Acha ujinga wa asubuhi asubuhi, wangekaa kimya mngesema hatuna thinkers and analysers haya wameanza kuchambua mambo.... mnaleta unafiki! mbona mimi sio CDM wala CCM? mm ni mtanzania ninaeipenda nchi yangu so CCM mngekua na sera za maana kuhusu mustakabali wa nchi ningekua mwanaCCM hai!!!! hivi ni dhambi kuwa na mawazo tofauti na CCM? Unakumbuka maneno ya JK kwa wanavyuo? pale ndio mlianza kukosea!! ni hilo tu
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli hata tajiri akikosa ****** hulia ccm kila siku hamlali mwanachuo asiyejjua siasa nza nchi ni sawa na mtu hajasoma tu so kwanza uelewe mustakabali wa taifa, kwa msomi kama ni no atasema kwa vitendo ikiwemo kukuzomea ujue unamletea utumbo, ulitegemea nini tambwe drs lka nne awe na point dhid ya wachambuzi
   
 4. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 881
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Mosi - Hiyo serikali ni ya Watanzania wote. Kufanya kazi serikalini ni haki ya kila mtanzania, alimradi anakidhi vigezo.

  Pili - Vijana ni watu ambao damu zao zinachemka. Bado hawajakuwa corrupted na ulimwengu. Ukitegemea vijana wawe na moderation kama tulionayo wazee utasubiri sana.

  Tatu - Vijana bado wana maisha yao mbele yao. Wanaangalia tulivyoifanya hii nchi na wanapata hasira kwani wanaona future hamna. Its like a caged animal trying to break out.
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wangekuwa wamewazomea wa upinzani msingesema, ila kwa vile wamezomewa CCM ndo mnakasirika! Kama mtu anakuja na hoja za kijinga lazima azomewe, wewe ndo uelewa wako mdogo ndo nyie mkishasoma mnajiona tofauti kabisa na jamii, hata kujichanganya na jamii hutaki eti kisa umesoma. Mambo hayaendi hivyo ndugu yangu zhu; Wanafunzi wananafasi kubwa ktk siasa ya nchi hii maana hatuwezi wategemea ndugu zetu kule vijijini wao walishaathirika na sera mbovu za ziziembu; hata hivyo wanafunzi haohao wanapotoa hoja zao ka za kuongezwa posho wanapuuzwa, hawasikilizi we unategemea nini ka si kuwazomea mafisadi? Isitoshe wafanyakazi wenyewe wanatukanwa na kiongozi mkuu wa nchi hadharani, hivi we kiongozi wa nchi unaweza kutoa methali za kizaramo adharani si ni hatari hiyo. 'Eti wanashangilia waambie' na wewe kiongozi wa nchi unaona unaungwa mkono, aibu tu.... ccm sasa kaeni pembeni tumechoka na sera zenu mbovu. ... maji hakuna wakati tuna mito, maziwa na mabwawa kibao, njaa wakati kuna ardhi nzuri yenye rutuba tele na mabonde ya kumwaga, no umeme wakati vyanzo viko vingi sana, CCM MUST GO OUT IN THE NAME OF JESUS CHRIST...
   
 6. h

  hoyce JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  unataka tuanalyse na kushangilia ujinga? Sioni tatizo kuzomea ujinga na ufisadi
   
 7. Z

  Zhu Senior Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wanachuo wanamawazo kama wewe unategemea kupata hoja ya maana badala ya kuzomea. Kwanza ni makosa kuwaita wasomi wakati hawajamaliza kozi zao. Mwaka wa kwanza kichwa kinajaa siasa badala ya kile anachosomea. Kazi kweli.
   
 8. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Unataka umashuhuri kwa kujibiwa na watu wengi nini? Mbona akili yako mgando hivyo? Siamini kama wamaanisha wanachuo wa madrasa. Kwa akili yako mwanachuo na uelewa wake anatumika, ila wale watu wa vijijini mliowanyima elimu, umeme, maji na barabara ndio wanaelewa sana na kutotumika. Yaani nyie mtu akiwa upande wa pili basi huyo anatumiwa. Acheni ushenzi, hamjapewa haki ya kuitawala nchi yetu milele.
   
 9. e

  emrema JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mjinga kawahi kuamka leo na kuparamia forum. Duniani kote vyuo vikuu ndio chanzo cha mabadiliko wewe unataka nani mwenye welewa zaidi wale waliopo chuoni anaetegemewa na nchi. Wasomi si wanafiki hata siku moja na usitegemee washangilie upuuzi. Kama wewe ni mwana CCM jipange unapokutana na kundi hili. Tena bado nguvu yao haijaonekana hasa subiri tu. Kwa unavyoandika unaonekana wa madrasatul.
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umeishiwa styl. Unacopy na kupaste maneno ya kijinga ya huyu mchungaji wako tbc1. Hatudanganyiki bana, nyie semeni mpk povu liwatoke mdomoni, mabadilko ni lazima!
   
 11. Z

  Zhu Senior Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tbc 1 ipi mpaka nimesahau kama ipo. No signal. Tunawasubiri maofisini tuone uelewao.
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hawa walipomchangia JK hela ya kuchukua form ya kugombea uliwapongeza, leo wanaposema mswaada unatatizo unakereka.
  By the way kuna wanafunzi wa VETA unaweza kwenda waeleza mawazo ya kijinga kama yaliyo kwenye sred yako.
   
 13. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Acha Umbumbumbu wako, kwani ni lazima kusikiliza pumba, wamechoka kusikiza ujinga wa CCM tangu uhuru hadi leo ni miaka hamsini tumeshawapa muda wa kutosha sana. Hatukotayari tena kuendelea kushikwa masikio huku tunaibiwa.
   
 14. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Pole sana kwa kuwa subjective! Kutokana na kuwa na akili za kushikiwa umejenga uwezo mdogo wa kufikiria.

  Kwa kuwa hufahamu nikufahamishe kuwa wanavyuo wana uelewa na uwezo mzuri tu wa kuchambua mambo. Kweli swala la kuzomea ni kutumiwa na wanasiasa? Hebu nifahamishe Wabunge walipozomea wakati CDM wanatoka nje ya Bunge walikuwa wanatumiwa na nani?

  Nisaidie pia wanasiasa wanapowahimiza wanamajimbo kuwapigia kura kisha kutotekeleza ahadi je huko si kuwatumia?

  Unachokiona mavyuoni si uhuni ni freedom of expression. Siku hizi watu wako independent in all wise kuliko miaka ya nyumba. Ni watu wachache mliobaki ambao maisha yenu yanategemea neema za watu wengine. Kutokana na hilo mko tayari kuwatetea anyway/anyhow.
   
 15. Z

  Zhu Senior Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wewe umeambiwa usema umeichoka CCM. Lakini huna hoja yako ya kusimamia. Ndio mawazo ya hao unaowaita wasomi. Wanafundishwa hata jinsi ya kufikiri. Go left they go. Go right they go. Ndo wasomi wa sasa. Good. Ikimaliza anapata lower class anajiunga wasomi wenzake wa lower class kama wewe.
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mungu atuepushie watu wenye mawazo kama yako.
  Haiitaji hata elimu ya darasa la tano kuona machafu ya CCM.
  Akili zako ni kama za Tambwe Hizza aliyekodi vitoto vikawahi siti pale Karimjee ukumbi.
   
 17. F

  Froida JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Wamejifunza kutoka kwa wabunge wa CCM wanaozomea wabunge wa upinzani
   
 18. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Zhu unachemsha, yani unataka kusema lower class ni wale wote wenye mawazo ya mageuzi?? Au unataka kuse upper class ni ccm??
  Ama kweli wasomi (hao wanaojiona kuwa wao ni wasomi) wa nchi hii wana matatizo

  Mageuzi ni lazima, wawepo au wasiwepo wasomi, iwepo au isiwepo cdm hata ccm wanajua hilo hakuna wakuzuia ni stage ambayo lazima tuipitie kwakupenda au kutokupenda kwahiyo rafiki yangu be prepared
   
 19. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  We zhu ni zuzu
   
 20. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  always waleta mageuzi ni wanafunzi na wafanyakazi wewe soma historia za uhuru wa nchi nyingi barani africa na ulaya utakuta vyama vya wafanyakazi,wakulima na wanafunzi ndivyo vilivyochangia kwa kiasi kikubwa sana kuleta uhuru kwa hiyo mie naona ni sahihi kabisa kwa siasa kuhamia vyuoni
   
Loading...