Meya feki wa arusha aomba ulinzi wa polisi nyumbani kwake.

never

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
240
77
Ndugu wanaJF

baada ya ile kauli ya katibu wa vijana wa CCM taifa wakiwa pale manzese yakuwa meya aliyechaguliwa ARUSHA ataendelea kuwa meya wa jiji hilo hata kama CHADEMA wakitoa lisaa limoja badala ya siku 21,

kauli hiyo imeanza kumtafuna meya huyo mara baada ya jana na juzi kushambuliwa na mawe na zomea zomea kila mahala apitapo na kauli zingine zikiendelea kusikika watu wa ARUSHA wakisema ya kuwa jengo la halimashauri vyumba vyake vitabaki magofu ya jengo hilo.

tumeamua sasa, walitupiga sana wakauua ndugu zetu wakawapa vile rafiki zetu sasa ni saa ya ukombozi wa kweli lazima meya atoke bila kupenda, nahuyo dogo anachonga kikwere kwere mwabieni aje arachuga aongee hayoo maneno.

tutahakikisha haturudi nyumbani tukirudi meya aweametoka lasivyo ni bora turudi tukiwa mauti tutaikomboa arusha, tunaitaka serikali iongeze askari hawa hawatoshi niwadogomno . NI HERI YA VITA INAYOTAFUTA HAKI NA USAWA KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUDHALILISHA UTU WA MWANADAMU
 
Ulinzi wa nini?? Anawaogoma wananchi waliomchagua??
 
Mwaga ugali nimwage mboga. Funga milango tupigane. Imeandikwa jino kwa jino, ila mzomeeni tu. Atapata hypermenorrhea
 
Makamba alishasema Meya wa Ar amechaguliwa kihalali sasa wanampa ulinzi wa nini??? Wanaogopa nini??? Shida zote za nini kuishi roho juujuu, c akubal yaishe?
 
Kwa hilo hadi sasa jiji la Arusha hakuna kinachoendelea kwenye halmashauri ya jiji ni malumbano tu.
 
Ndugu wanaJF

baada ya ile kauli ya katibu wa vijana wa CCM taifa wakiwa pale manzese yakuwa meya aliyechaguliwa ARUSHA ataendelea kuwa meya wa jiji hilo hata kama CHADEMA wakitoa lisaa limoja badala ya siku 21,

kauli hiyo imeanza kumtafuna meya huyo mara baada ya jana na juzi kushambuliwa na mawe na zomea zomea kila mahala apitapo na kauli zingine zikiendelea kusikika watu wa ARUSHA wakisema ya kuwa jengo la halimashauri vyumba vyake vitabaki magofu ya jengo hilo.

tumeamua sasa, walitupiga sana wakauua ndugu zetu wakawapa vile rafiki zetu sasa ni saa ya ukombozi wa kweli lazima meya atoke bila kupenda, nahuyo dogo anachonga kikwere kwere mwabieni aje arachuga aongee hayoo maneno.

tutahakikisha haturudi nyumbani tukirudi meya aweametoka lasivyo ni bora turudi tukiwa mauti tutaikomboa arusha, tunaitaka serikali iongeze askari hawa hawatoshi niwadogomno . NI HERI YA VITA INAYOTAFUTA HAKI NA USAWA KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA NA KUDHALILISHA UTU WA MWANADAMU
 
Kwa hilo hadi sasa jiji la Arusha hakuna kinachoendelea kwenye halmashauri ya jiji ni malumbano tu.
Tunachosubiri ni kuona baada ya ccm kujivua gamba watafanya nini Arusha maana wana Arusha wanaujua ukweli hakuna mtu wa kuwadanya hadi wanaccm wanajua hilo la umeya.
 
kwanini aombe ulinzi??hayo ndio matokeo ya wizi au makosa aliyoyafanya ndio maana analoose confidence always ingekua alichaguliwa kihalali wala kusingetokea yote haya!
 
Back
Top Bottom