Ama kweli mwaka huu ni mwaka wa vikombe! kikombe kingine chaibuka Mbagala! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ama kweli mwaka huu ni mwaka wa vikombe! kikombe kingine chaibuka Mbagala!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, Apr 18, 2011.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimesikia kwenye redio sasa hivi kuwa kuna kikombe kimeibuka mbagala, mwaka huu kuna watakaofikiri kuwa ni neema, na kuna watakaozani ni kulichafua taifaletu kwani watu watakuwa wanasema unatoka nchi gani, ukisema Tanzania watakuuliza ile nchi ya vikombe? ndugu mwenyemacho haambiwi tazama!
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,831
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Ila nashukuru sasa hivi vikombe havitufanyi kuacha kujadili mambo nyeti kwa ustawi wa taifa letu....tumeshavizoe sasa.
   
Loading...