TCRA usumbufu huu wa makampuni ya simu utaisha lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCRA usumbufu huu wa makampuni ya simu utaisha lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipindupindu, Apr 18, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa wateja wa voda mtakubaliana nami kuwa kuna wimbi la sms kutoka kwa hawa service provider wetu,sms hizi ni za kihuni na zinaleta usumbufu mno,unaweza ukahairisha kwenda chooni ukakimbilia mlio wa simu unaoashiria sms ukitegemea ni message muhimu imeingia kumbe looo!
  Ukifungua unakutana na haya :

  "umebahatika!
  Katika mchujo namba 075****** yaweza kushinda usiku huu tsh 3000000 taslimu na vodacom!Tuma jina lako kwenda 15544 haraka!550tsh/sms "

  hapo utaamua kuuchuna basi watakurushia hii hapa:

  "una neema!usichukulie ujumbe huu ki mzaha tuma jina lako haraka kwenda 15544 na waweza shinda Tsh 3,000,000 taslimu ya vodacom usiku huu!550 Tsh/sms "

  ukiwa ngangari zaidi hawakuachi wanakupiga na hii: (wakuu hii imenichekesha kidogo haswa hiyo sehemu ya kwanza)

  "WASTAHILI SIFA! tulijaribu kuwasiliana na wewe na hukujibu!muda ni sasa tuma jina lako kwenda 15544 na waweza shinda leo tsh 3M taslimu na vodacom!550 Tsh/SMS"

  Sijui sasahivi watakuja na gia ipi?

  My take:huu ni usumbufu kwa wateja halafu kwa nini mnalazimisha watu kucheza bahati nasibu?
  Hivi kama mh mkuu wa kaya/waziri wa mawasiliano ana line ya voda naye hutumiwa hizi sms? TCRA MKO WAPI?au mnaiwinda Jf?

  Nawasilisha...
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwa hilo hata mimi nakereka sana imefika wakati naona kama huu mtindo ni wizi mtupu kwa makampuni haya ya cm kwanza wanatusumbua kwa sms kibao zisizo hata na umuhimu kwetu inshort wanatuboha!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  wapuuzi kweli....kwanza waizi halafu wanaboa
   
 4. T

  Tofty JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hii ni issue ambayo inabidi iangaliwe kwa pamoja na TCRA pamoja na bodi ya bahati nasibu!
   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuna mtu anajali?mpaka cdm watishie maandamano ndio wataamka usingizini.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Yaani ni kero kweli.
   
 7. E

  Egongos Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Tcra wamelala hao
   
 8. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Usanii mtupu kwenye hizo 'bahatika'
   
Loading...