Nzega ni pipooooos....

gambagumu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,818
2,423
nipo nzega kikazi,baada ya kumaliza shughuli zangu jioni hii nimepita hapa uwanja wa parking ambapo dr slaa amekua akihutubia mkutano
Umati wa watu ulikua mkubwa sana kuwahi kutokea hivi karibuni hapa nzega..Kwa kifupi dr amendelea kiuvua ccm nguo kwa kuanika uozo zaidi kwenye serikali yake na kutoa elimu ya uraia kwa wananchi hasa katika kudai haki zao. Kwa hali ya mwitikio mkubwa kiasi hiki inaonekani kila atakayetaka kipinga cdm kwa njia kizamani pasipo hoja zenye nguvu atakua na wakati mgumu..kwani inaonekana pamoja na njia hizo kutumika bado hazijaweza kuteteresha hata kdg imani ya wananchi kwa cdm ...jioni njema wakubwa.
 
Ombi langu bado namwomba Dr.aje na huku Sikonge,huku bila kuja tutakuwa hatujatenda haki kwa watu hawa,kusema kweli huwezi kuamini kama huku ni sehemu ya Tanzania watu hawana hili wala lile juu ya mustakabali wa nchi yao,wanahitaji ukombozi kwa sasa...mie huku siyo kwetu ila watu hawa wananiumiza kichwa kila siku
 
Kwa nini kama Bunge limeisha hawa vijana CDM wasisambazwe mikoani na wilayani kukipanua chama? Wanahitajika saana sehemu mbalimbali mpaka katani kupanda misingi ya chama!!! Dr. Endelea kujenga chama Baba!!!
 
Back
Top Bottom