Spika wa bunge la daruso-udsm atua ccm, baada ya kuridhishwa na kujivua gamba

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Jana nikiwa naangalia taharifa ya habari ITV, Nilimuona spika bwana. Mwangomango akijinadi kujiunga na ccm. Kilichonifanya niandike ni sababu anayoisimamia ya uvuaji gamba<sikufikiria kama mtu mwenye akili timamu anaweza kuingia ktk huu mtego wa kitoto>, cha kushangaza leo kaja na sababu nyingine 1. CDM kumejaa na yeye ni mtendaji, hivyo hatapata nafasi ya kuongea 2. CDM ikivurugika uongoz wa juu, chama chote kimekufa. Lakini kwa walimhoji zaidi, kadai kaaidiwa kulipiwa "school of law", hao ndiyo wasomi wetu
 
Alikua akiongea huku akiwa na aibu kubwa!kijana yeyote mwenye akili timamu mtanganyika anahitaji mabadiliko ktk utawala wa nchi!
 
...Jamani kufika elimu ya juu si tija...lazima uwe na uwezo kufikiria kwa makini...nadhani huyo jamaa ni kati ya watu wasiojua wanachofanya...tumsamehe..
 
Uma-mluki ni tatizo kubwa zaidi ya hata ufisadi. Kwa nchi za wenzetu kama unasimamia jambo halafu ukabidili msimamo half-way through, then the public will eat you alive. Huwezi kuchezea fikra za watu kwa maslahi yako binafsi. It is immoral and holy unacceptable. Huyo kigegeu (speaker wa daruso) kwake yeye shida ilikuwa ni kamati iliyoondelewa madarakani? maana so far ndicho kimefanyika mpaka sasa toka ccm. I know ccm sasa hivi watakuwa wanagawa hela nyingi sana kwa watu hasa wanavyuo na watu kama huyu speaker wanaweza kugeuka nyuma ila wajue CDM is not just a political party, its a movement to un-do years of mismanagement & squndering of national resources. Let them stop the movement if they can!
 
Mbwa mwenye mnofu mdomoni habweki! Mnofu wa rushwa ya CCM ni mzito mithili ya tufe lakini mchungu mithili ya nyongo ya kenge! Ni mnofu wenye sumu hatari unaoangamiza maisha ya watanzania wengi. Ama kweli nyoka akijivua gamba, hata siku moja hatageuka kuwa samaki!
 
Kajimaliza mwenyewe na kujipaka matope ambayo kuyafuta itamgharimu sana.
 
Duh,lumbe shitambala wa chadema aliwahii tu! Angesubiri si wajua ccm kwa picha
 
Km amefanya hvyo kwa ahadi ya malipo milele elimu yake na dhamira yake itamsuta!shame upon him,mbaya zaidi anaonyesha ana tamaa ya mamlaka eti CDM kumejaa hawez kupata nafasi eti yeye mtendaji
Jana nikiwa naangalia taharifa ya habari ITV, Nilimuona spika bwana. Mwangomango akijinadi kujiunga na ccm. Kilichonifanya niandike ni sababu anayoisimamia ya uvuaji gamba<sikufikiria kama mtu mwenye akili timamu anaweza kuingia ktk huu mtego wa kitoto>, cha kushangaza leo kaja na sababu nyingine 1. CDM kumejaa na yeye ni mtendaji, hivyo hatapata nafasi ya kuongea 2. CDM ikivurugika uongoz wa juu, chama chote kimekufa. Lakini kwa walimhoji zaidi, kadai kaaidiwa kulipiwa "school of law", hao ndiyo wasomi wetu
 
Alikua akiongea huku akiwa na aibu kubwa!kijana yeyote mwenye akili timamu mtanganyika anahitaji mabadiliko ktk utawala wa nchi!

.
Dhamira yake inamsuta maana alichokua akiongea mdomoni sii ndicho kilicho moyoni mwake.
.
 
Msomi ambaye uwezo wake wa kufikiri unaishia kwenye tumbo lake ni hatari zaidi ya bomu la nyukilia. Huyu ni mmoja wa hao, ana heri mtu yule elimu itakuwa taa kwake ili awaangaziye waloko gizani kuliko elimu kuwa giza kwake mwenyewe.
 
Asisingizie kuridhika na CCM kujivua gamba bali akiri kuwa njaa yake ndiyo imempeleka huko.
 
Jana nikiwa naangalia taharifa ya habari ITV, Nilimuona spika bwana. Mwangomango akijinadi kujiunga na ccm. Kilichonifanya niandike ni sababu anayoisimamia ya uvuaji gamba<sikufikiria kama mtu mwenye akili timamu anaweza kuingia ktk huu mtego wa kitoto>, cha kushangaza leo kaja na sababu nyingine 1. CDM kumejaa na yeye ni mtendaji, hivyo hatapata nafasi ya kuongea 2. CDM ikivurugika uongoz wa juu, chama chote kimekufa. Lakini kwa walimhoji zaidi, kadai kaaidiwa kulipiwa "school of law", hao ndiyo wasomi wetu
Pumba tupu. Niliwaalika viongozi wa tahliso kufanya kikao hapa chuoni kwangu. Huyu jamaa alikuwapo, ni mweupe tu hana lolote hana chochote.
 
Back
Top Bottom