Jerry Slaa Punguza Spidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jerry Slaa Punguza Spidi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muke Ya Muzungu, Apr 4, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Tanzania kuna mameya wengi sana. Hata Miji mikubwa ya Dar, Arusha, Mwanza na kwingineko kuna mameya, lakini wote wanafanya kazi zao. Kijana Jerry Slaa amekuwa mstari wa mbele kuuza sura kwenye ma Redio, Magazeti, TV na Blogs. Hivi huyu dogo anafahamu kweli kwamba hawa anaojipendekea kwao ndio watakao mwangusha? Subirini mtaona. Watu wanauchungu wa maisha, wwe badala ya kuwatumikia unatumia nafasi yako kuuza sura?

  Source Jiachie

  [​IMG] View attachment 26562
  [​IMG][​IMG]
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0

  Huyu ni utoto, mwisho wake ni mbaya kama makamba na wanaye. Jerry Silaa, sikia ushauri, mwisho wako utakuwa mbaya. Dar kuna Temeke, Ilala, Kinondoni Kawe, na Ubungo. Kote kuna mameya, iweje wewe ndo meya pekee. Yaani hata meya wa jiji ni kama mjinga kwa Jerry silaa. Wenzako wanakuangalia
   
 3. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  sawa umeamua kumsema Jerry Silaa lakini si kweli kwamba Kawe na Ubungo kuna meya bali ubungo na kawe ni majimbo ya uchaguzi.Kuna Meya 3 wa Manispaa tatu zilizoko Dar es Salaam.Meya kwa manispaa au wenyeviti kwa halmashauri za wilaya au mji.
   
 4. Sisimizi

  Sisimizi JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nichangie mada kwamba JS kama ukipata fursa ya kupitia hii thread, usiielewe vibaya. mtoa mada ametoa mchango wake kwa uhalisia wa mwenendo wako kwa sasa na lengo lake ni kutoa tahadhari wala si kukuponda. mtu anayependa kukusifia sifia hata pasipotakiwa hakufai. Huu ni ujumbe muafaka, usiuchukue kwa jicho hasi.
   
 5. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  huyu anaona kama vile anaonewa. anakuja kuanguka chali kwa kutafuta cheap popularity. angejaribu kufanya kazi kwanza ndo atafute sifa baadae. mtu mwenye busara ataona hii kama constructive criticism
   
 6. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  anaenda na spidi 120 kwenye makazi ya watu
   
 7. j

  jjbulembo New Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2007
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wakifanya kazi eti wanatafuta popularity...wakibunya hawawezi kazi. Ni tathmini ya kazi au kijicho? He dared akapata..badala ya kumpa mawazo ya wapi paende vipi tunageuka small minds! You are discrediting this forum.
  Ati kama mameya wengine (hata wangekuwa 50!) hawachapi kazi then yeyote kati ya hao akichemka na wajibu wake basi anatafuta umaarufu...basi umaarufu huo mzuri. Tena mwingine anasema kuna meya wa kawe na ubungo! No research, no right of speech!
   
Loading...